TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo

Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
Wake zenu mnawahudumia saa ngapi? Wameilalamikia Tisi ara Ei mda mrefu so mjiongeze ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
TTCL Wamepunguza GB za kifurushi Cha mwanachuo (boom pack)! Internet yenyewe iko slow Sana sijui wanajivunia Nini. Hili bundle likiisha nitahamia halotel
Halotel nako wananoa visu huko pelekeni hizo shingo muone ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo

Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
Kipo kifurushi cha usiku buku 3.5 gb na mchana 500mb jumla 4gb. Nenda bandika bandua. Haya majamaa mazembe hayajui kujitangaza kabisa.
 
Nahakika mwezi hauishi Halotel nao wataondoa night bundle
Hawa jamaa sijui wanaambiana nyambafu zao
Hahahah wanawalia timming tu wakichafue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mtalia na kusaga meno maninx
 
Nimehama halolel nw niko zantel yani mpaka najiona falaa kwann sikuhamia zantel mda wote natumia halotel

Zantel wako vzr sana kuanzia bando mpka speeed yao
Natumaini ni miongoni mwa watu ambao niliwaambia mtakuja kunishukuru ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘!

Uzuri wa huku hamna mambo ya kubadilishiana vifurushi. Vifurushi vinadumu muda mrefu sana bila kuchezewa chezewa vilio utavisikia kwa majirani tu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ si tunapeta.
 
Ndugu yao Tigo
Zantel wako independent wala hamna falsafa za kitapeli kama hao Tigo. Ni mtandao wa mahustadhi na mahustadhat hamna upigaji huku wala hutasikia wamelipishwa fine ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!!

Hali iko hivyo hivyo hata kwenye vifurushi, ukiambiwa 1GB basi ni halisi sio ule utapeli wa kupewa 500MB kisha unatumia ujumbe umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha 1GB!
 
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo

Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
Nenda Halotel
 
Back
Top Bottom