TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

Zantel wako independent wala hamna falsafa za kitapeli kama hao Tigo. Ni mtandao wa mahustadhi na mahustadhat hamna upigaji huku wala hutasikia wamelipishwa fine !!!

Hali iko hivyo hivyo hata kwenye vifurushi, ukiambiwa 1GB basi ni halisi sio ule utapeli wa kupewa 500MB kisha unatumia ujumbe umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha 1GB!
hujui kuwa tigo na zantel mmiliki ni mmoja MIC communications , na mwanzon mwa mwaka huu kampuni yao imeuzwa kama cjakosea ni Madagascar.
 
Back
Top Bottom