TTCL turudi nyumbani kumenoga

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Habari wakuu...

Kama tulivyokubaliana ni mwendo wa kusajili laini za TTCl tuamshe hii kampuni yetu ..imelala sana na meneja wa masoko kwenye hii kampuni cjui wanakwama wapi kumtumbua??

Enenwei ni ndoto yangu siku moja kuona Mtandao huu unatumika na % kubwa ya watu ili awa wengine wakome kutufanya sisi mazwazwa kila cku kutupandishia vifurushi..Nyuzi nyingi zimeelezea

Naomba kujuzwa tu menu ya TTCL mm nimeshasajili wewe je unasubiri nini?

Uzi tayari
 
Nimelieleza hili.

Habari wakuu...
Kama tulivyokubaliana ni mwendo wa kusajili laini za TTCl tuamshe hii kampuni yetu ..imelala sana na meneja wa masoko kwenye hii kampuni cjui wanakwama wapi kumtumbua??

Enenwei ni ndoto yangu siku moja kuona Mtandao huu unatumika na % kubwa ya watu ili awa wengine wakome kutufanya sisi mazwazwa kila cku kutupandishia vifurushi..Nyuzi nyingi zimeelezea

Naomba kujuzwa tu menu ya TTCL mm nimeshasajili..wewe je unasubiri nini?

Uzi tayari
Limtandao la hovyo sana hili. Sishauri yeyote kutumia huu uchafu. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye yafuatayo kwanza;
Wapunguze gharama za vifurushi maana wao n wa upande wa umma
Waboreshe kasi ya mtandao wao wa internet, waweke walau 3G nchi nzima. Km ndege zinanunuliwa cash bas hata wao wanaweza kupewa cash kukuza uwezo wao
Waongeze vifurushi ili kutupa machaguo meng ya vifurushi kulingana na hali ya mtu
 
Wekezeni kwenye Fiber mitaani, na maeneo ya uswahilini pelekeni wifi, hakuna competition yoyote huko, mutakua nyie tu. Sio lazima Kung'ang'ania huku kwenye mobile data ambako kila mtu yupo.
Naam Chief, tufike pahala hadi nyumba za makuti ziwe na Fibre ya Ttcl. Hii kushindana na kina Vodacom, Tigo na Airtel ni kitu hawato weza shinda.
 
Naam Chief, tufike pahala hadi nyumba za makuti ziwe na Fibre ya Ttcl. Hii kushindana na kina Vodacom, Tigo na Airtel ni kitu hawato weza shinda.
Nilienda Mombasa kuna fiber/wifi hadi za 1mbps, kwa bei za kawaida tu 10,000 mpaka 15,000 ya huku.

Unapeleka tu connection ya waya hadi karibu na uswahilini then unasambaza na wifi package ndogo ndogo, connection ya 10gbps ama hata 1gbps inahudumumia maelfu ya watu.
 
Wafanye yafuatayo kwanza;
Wapunguze gharama za vifurushi maana wao n wa upande wa umma
Waboreshe kasi ya mtandao wao wa internet, waweke walau 3G nchi nzima. Km ndege zinanunuliwa cash bas hata wao wanaweza kupewa cash kukuza uwezo wao
Waongeze vifurushi ili kutupa machaguo meng ya vifurushi kulingana na hali ya mtu

Copy that
 
Kampeni nzuri ila hao TTCL ni wale wale tu, bora hyo Fiber optic cable tu
 
Hivi hawa ttcl wana vifurushi vya usiku?
mimi mtandao wa simu bila kifurushi cha usiku wala sioni umuhimu wa kuwa na line ya simu.
Mimi napenda kuangalia Netflix je kampuni gani ya simu ina bando la usiku ambalo zuri
 
Back
Top Bottom