Ttcl tunaambiwa rudi nyumbani kumenoga je kumenoga kweli..

speed.png

HII NDIO SPEED YA INTERNET YA TTCL HUKU DAR-ES-SALAAM/GOBA

NDUGU YANGU WA MBEZI BEACH ACHA KABISA PAMBANA NA VODA TU...TTCL ITAKUSABABISHA UVUNJE MODERM AU UPASUE SIMU.
 
View attachment 1106497

HII NDIO SPEED YA INTERNET YA TTCL HUKU DAR-ES-SALAAM/GOBA

NDUGU YANGU WA MBEZI BEACH ACHA KABISA PAMBANA NA VODA TU...TTCL ITAKUSABABISHA UVUNJE MODERM AU UPASUE SIMU.
Sijui kama hichi kitu kitakusaidia au Lah! Lakini nakumbuka mwanzoni nilikuwa natumia TTCL kwenye simu yangu inayo support Band B3 (1 800mhz) tu na nilikuwa napata spidi mbovu sana hapa home, lakini baadae nikanunua modem inayo support band B40 (2300mhz) ambayo pia TTCL wanatumia na spidi yangu ime improve mara dufu
 
Ttcl wana 2300mhz? Wamenunua mitambo ya smart ama?
 
Sijui kama hichi kitu kitakusaidia au Lah! Lakini nakumbuka mwanzoni nilikuwa natumia TTCL kwenye simu yangu inayo support Band B3 (1 800mhz) tu na nilikuwa napata spidi mbovu sana hapa home, lakini baadae nikanunua modem inayo support band B40 (2300mhz) ambayo pia TTCL wanatumia na spidi yangu ime improve mara dufu
issue inakuja hapo sasa kujua moderm inayo support hizo bands...mfano kama hii moderm yangu sijui hata kitu yani naitumia tu hata sielewi...
 
TTCL mambo yamenoga kweli kweli kwenye internet.

Wana kifurushi chao cha buku nakipenda mno, Asubuhi mpaka saa 2 usiku unapewa mb 500 na ikifika saa 2 usiku unaachiwa GB 3 na nusu nazitumiaga kwa kuzikomoa ila sizimalizagi :) :) , Spidi ni kali mno huwa na-enjoy ikifika hio saa 2 usiku naweza kudownload muvi ndani ya dakika chache tu, ku stream youtube HD bila kuganda na pia kukiwa na mechi naicheki bila matatizo.

Changamoto ni kwamba hii 4g ya ttcl ina maeneo yake, sehemu nyingi (ikiwemo ndani ya nyumba) inabidi uwe kaeneo flani ili upate spidi kali, mara ya kwanza nilikuwa na modem ya kupachika kwenye laptop ilikuwa inabidi niwe kasehemu flani ili nipate spidi kali kwa hio nilinunua waya mrefu ambao napachika modem na kisha modem naiweka juu kabisa maeneo ya dirishani ili niwe na speed. Nikajichanga nikanunua wireless router ambayo nimeitegesha maeneo yale yale ya dirishani ili nipate spidi.
 
Menu yake ni ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom