TTCL: Tuna tatizo la internet siku ya leo, tunaomba radhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TTCL: Tuna tatizo la internet siku ya leo, tunaomba radhi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Maxence Melo, Aug 11, 2011.

 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Nimeongea na Customer Service wa TTCL (Dar) wakasema wana tatizo la mtandao tangu asubuhi na wanawaomba radhi wateja wao kwa kutoweka hewani bila kuaga.

  Nimeona vyema niwafahamishe kwakuwa niliongea nao baada ya mteja mmoja wa JF kulalamikia connection yao.

  Ni kwa taarifa tu
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Shukrani kwa taarifa mkuu...... Hivi hawa jamaa hawana njia ya kuweza kuwasiliana na wateja wao kuwajuza kuhusu huduma yao kuwa matatizo...
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Wateja wao ni wengi itakuwa vigumu wote kuwasiliana nao wewe kama unataka kuwasiliana nao hao TTCL Mwambie Mkuu Maxence Melo akupe namba yao ya simu uwapigie ikiwa kama una matatizo ya connection internet
   
 4. k

  khalids19 Senior Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndio mana leo all day hakuna internet access ata kidogo DAH kwely hawafai!! and Advertising yao ya uongo KABISA!!!
   
 5. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,141
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  hii ni hatari kubwa kwa taifa , TTCL ndo ISP (internet service provider ) mkuu kwa nchi hii ,kutotoa huduma kwa siku mbili sasa , inamaanisha hakuna mitandao makazini wala mashuleni , sijui bank ziko katika hali gani sasa
   
 6. k

  khalids19 Senior Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yani awa Wajinga Kama wameshaanzisha Mgao Wa Internet!!! iii itakuwa balaa yani Kwely hii ni SIku ya pili sasa bila ya internet halafu mimi nimewalipa 110,000 kwa 1MBps connection wao wananipa 512KBps Connection na bado wanakata internet for Two days and counting i think hii inaweza kufika wiki!WIZI wakubwa TTCL,,mimi ninatumia cause sina jinsi ndio DSL Provider pekee apa dar
   
 7. k

  khalids19 Senior Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ebwana leo siku ya tatu ta huu mgao wa internet yani adi leo sikuu ya tatu intrrnet hamna alafu wanasema damahani sisi tunalipia hela nyingi!!!dah...ttcl ni bora waende bankrupt ije dsl company ingine
   
Loading...