TTCL ndio wakati wenu kurudisha heshima yenu kama kampuni la serikali

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,562
188,754
Habari.

Wakati mitandao mingine ya simu inaleta mbwembwe na kujaribu jaribu kupanga vifurushi kulingana na tamko la TCRA.

Sasa ndio wakati wenu wa 'kusepa na kijiji' nikiwa na maana ya kuweza kupata wateja wenu wengi na yatabaki majuto kwa kampuni zingine.

TTCL ni kampuni kubwa sana likiamua kufanya kazi na sasa ndio wakati umefika msiache hii fursa kujenga tena na kuwa mtandao namba moja Tanzania.

Tumieni vizuri maneno yenu haya RUDI NYUMBANI KUMENOGA.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Wafanyakazi wote yaani mwenye umri mdogo miaka 50
Unachosema ni ukweli, kuna siku nilienda ofisi moja ya TTCL Mwanza, ofisi nzima wanaongea kilugha kuanzia anaefagia hadi boss wote wanasemeshana kilugha....ni ofisi ya familia ile sio ya serikali.
 
Hili kampuni litakufa soon....maana lilipoanzishwa lilizipa mianya ya upigaji wa makampuni binafsi (private corp.)

Aliyelifufua kafa...msitarajie mengi sana.
 
Back
Top Bottom