Wadau na wasio wadau, nimenunua hii modem hapa chini:-
Ajabu ni kwamba, sipati option na yenyewe wala haifanyi jitihada zozote za ku-install software!! Baada ya kupita hapa na pale, nikakuta kitu kinachosema ni-type http://192.168.0.1 kwenye browser! Nika-type lakini hapo napo naambiwa ni-sign in bila kuwapo na option ya ku-sing up/ku-register!!!
Sasa na-sign in vipi bila kuwa registered?!
Lakini kubwa kuliko yote, ni vile naweza ku-install software ya hii modem!! Wadau, naombeni mnisaidie kutoa miba njiani ili nifike huko home nikawasalimie bibi na babu baada kuwatoroka bila taarifa mwaka 2009!!!