TTCL ISSUE: Bodi ivunjwe, Waziri ajiuzulu, Airtel irudishwe kwetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TTCL ISSUE: Bodi ivunjwe, Waziri ajiuzulu, Airtel irudishwe kwetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YeshuaHaMelech, Feb 4, 2011.

 1. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 2. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2017
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 1,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Njoo utupe maelezo maana pendekezo lako la nne limekubaliwa na JPM
   
 3. mapinduzi daima

  mapinduzi daima JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2017
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 856
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 180
  Umefukua hili kaburi
   
 4. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2017
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 1,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Nimeona pendekezo la jamaa la 4 linatekelezwa nataka nijue kwanini alipendekeza hivyo
   
 5. sodoliki

  sodoliki JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2017
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 717
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  bei ni ile mteja analipa, hata mbuzi akiuzwa shilling 10 ni bei yake, leo mnaaanza kufukua makaburi wakati TTCL ilikuwa na technologia ya simu za waya, technological adaptation amabyo ni kubwa imetoaka Celtel, Celtel ndiyo walianzisha soko la simu za mkononi, siri ya kushindwa kwao ni mkono wa serikali kuwa mkubwa, never on earth unaweza kuendesha biashara na serikali, serikali ni makaunda suti, vitambi, majungu , kadi za CCM etc. Fukueni makaburi mchukue Airtel, Chukueni NBC, chukueni Saruji , Chukue TBL ,chukueni NMB, Chukueni kilombero sugar na ndiyo hapo foleni za vibaba vya unga zitaanza
   
 6. Graph

  Graph JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2017
  Joined: Jul 20, 2016
  Messages: 1,535
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Airtel ikimilikiwa na TTCL inakufa, hakuna kampuni yoyote ambayo imeingiliwa na serikali ikabaki salama, hata TTCL was performing better hadi serikali ilivyoikalia, sasa hivi its a shitty network. Unajua tatizo kubwa la serikali kila decision ina involve chain kubwa ya command, kufanya kitu kimoja kinachukua muda mrefu sana, hata mishahara tu ni shida, documents kibao, kua approved kitu kidogo inabidi kipite kila kona. I'd rather see private companies ambazo haziingiliwi na serikali kiuendeshaji, yenyewe idai kodi tu alafu ikae kimya iache wajiendeshe wenyewe.
   
Loading...