TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Niliachana na TTCL pale unaweka line yao lakini inasoma Tigo halafu mb kibao lakini hazifungui hata picha ya whatsup
 
Mbona internet yenu inasumbua sana?
Kuna siku nilikua mitaa ya bunju tu hapo,yani adi line iliandika emergency call,sio simubza kawaida sio internet vyote havipatikani
Mnatusaidiaje?
 
ngoja niwasaidie huku, naona wameweka twitter tu..

20211014_091759.jpg
 
Mbona internet yenu inasumbua sana?
Kuna siku nilikua mitaa ya bunju tu hapo,yani adi line iliandika emergency call,sio simubza kawaida sio internet vyote havipatikani
Mnatusaidiaje?

Tuma namba yako ya TTCL inbox kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom