TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

Kitu usichokijua ni kwamba, wewe kwa akili yako unafikiri kampuni ikishakuwa na minara tu basi kazi imeisha.

Unakosea sana na unafaa kuelimishwa zaidi. The system that all telecom service providers uses to transmit their signal 🚦 is owned by Ttcl, just to educate you.

ungekua hata kidogo unajua unachoongea ngekupa darasa kidogo ila ni vizuri ubaki na ujinga wako ivo ivo, huenda ndo sheria ya chama chenu
 
Umeona kazi hiyo "shida kwenye ofisi hiyo hiyo kna mmja anatembelea vx"😂😂

Ova
Unashindwa kuelewa inakuaje mtu mwenye mshahara ambao haufiki million 100 kwa mwaka anatembeleaje Vx V8? Kinachofuata lazma kiumane wafanyakaxi wote wanaamua kuwa wezi
 
Deni la TTCL ni kutokana na mtaji unaolifanya shirika liwe la kisasa. Hao wabunge walikua wapi kulilia Celtel wamalize deni lao la dola milioni 55?
net debt ya TTCL ni ~bilion 130, huu ujanja ujanja ni kutaka kuligawa shirika kwa kampuni binafsi. Acheni watu wafanye kazi jamani. Tunajua wabunge wanahisa kwenye kampuni za simu hasa Vodacom Tanzania, na uwepo wa TTCL ni mwiba kwa Vodacom hasa kwenye tenda za mawasiliano za serikali. TTCL inapata tenda zote za serikali zinazohusu mawasiliano.
Hujuma kwa TTCL ni kwasababu ya ulafi wa wanasiasa.
Mwaka 2015, ripoti ya habari leo yenye kichwa cha habari TTCL yafilisika
ilionesha wazi jinsi shirika hili linavyohujumiwa na kampuni binafsi za mawasiliano.
Umeeleza vizuri.
Hongera. Bahati mbaya kuna mijitu misomi Tanzania inapumbazwa na habari za kubumba za kuwapumbaza. Wanashangaa Deni vs Gawio.
Wakati wapo humu humu wanaojua kuwa madeni si lazima yalipwe mwaka mmoja wa fedha. Kinacholazimizika kulipwa kwa mkopeshaji kila mwaka ni Riba tu plus Principle loan instalment husika kwa mwaka huo wa fedha. Kitendo hicho huruhusu kuwepo kwa net income inayofaa kutoa gawio. Hao waswahili wa ukanda ule wanahujumu sana Bara kwa mauzushi uzushi ya kijinga ili wauziane shirika. Watu wa Bara huenda neno Bara means Empty!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom