TTCL haina tofauti na chuo cha VETA Japo ni Taasisi kubwa ya mawasiliano mama nchini

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Hii kampuni imejaa wazee wanaosubiri kuzikwa ofisini humo ndio furahaa yao.

Kampuni imekuwa pitio la makampuni mengine kujiendeleza na kutobolea kupitia TTCL.

Kampuni ilitakiwa kuwekwa kwenye kumbukumbuku za UNESCO maana ina mambo ya kizamani na ajabu.

Kampuni isiyotaka mabadiliko wala kujali ili mradi tu bora liende.

Mpaka sasa hivi imeshindwa kujikita na huduma bora zaidi majumbani na simu za mikononi.

Mnatuboa penye ukweli usemwe TTCL Customer Care
 
Hii kampuni imejaa wazee wanaosubiri kuzikwa ofisini humo ndio furahaa yao.

Kampuni imekuwa pitio la makampuni mengine kujiendeleza na kutobolea kupitia TTC...
Yaani shida Nini? Network au? Kua specific
 
Back
Top Bottom