Nashindwa kuipata website ya TTCL

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
781
Wakulu, hii website ya TTCL siikamati kwa wiki nzima sasa, inakuwaje. Hebu nijuzeni, na kwenu ni proble hiyo au kwangu tu? Thanks.
 
Wakulu, hii website ya TTCL siikamati kwa wiki nzima sasa, inakuwaje. Hebu nijuzeni, na kwenu ni proble hiyo au kwangu tu? Thanks.
Naona wanashida mtambo wao wa internet,maana nilienda posta leo mfanyakazi alikuwa analalamika hana mawasiliano ya kimtandao (internet) anashindwa kusajili vipaseli kwenye mfumo
 
Last week niliamua nicheck data plans zA TTCL, nikakutana na tatizo Hilo hilo. Nimewauliza kwenye uzi wao wa malalamiko na mapendekezo, sijajibiwa. Hii nchi kuendelea inahitaji miujiza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom