Tsvangirai alipa mahari $36,000 na ng'ombe 10, ndoa yavunjika baada ya wiki

dah hivi hilo sura la morgan kweli ni halali alipe hiyo mahari kwa huyu binti.jamaa anatisha ati
 
hiyo mahari a.k.a "lobola" mnayoiongelea mbona ndoa yenyewe tayari imeishavunjwa na bwana tsvangirai kwamba alilengeshwa mkenge wa kisiasa kwa kuwa mchumba ana links na zanu pf.

Kwa wanaopenda kupata details zaidi wanaweza kusoma hizi links hapa:
Mambo yalianzia hapa: exclusive: Tsvangirai marries lover

then wambea wakasema mchumba ni mjamwepesi:
tsvangirai wife 'pregnant with twins'

ndipo siasa za vyama zikaingia kwenye hiyo ndoa:
http://www.newzimbabwe.com/news-6567-mps joke about tsvangirai marriage/news.aspx

mambo yalipokuwa moto ndipo tsvangirai akaahidi kuondoa kiwingu, lakini tayari kulikuwa na damage kubwa sana kwenye media na kwenye public opinion:
tsvangirai, tembo to 'clear the air'

wakati hayo yakiendelea, kwenye youtube kulionekana clip mzee mzima akijitetea kwamba yeye ni "bachelor" so ana haki ya kuwa na mahusiano. It was a bit late na mambo yalishaharibika kwani tayari alishatuhumiwa kumtia mimba binti wa miaka 23 na kutaka kumtelekeza then akaua soo kwa kumpangishia nyumba. Haijulikani swala hilo limeishia wapi. Pia maelezo ya clip hiyo yalikuwa ni majibu ya tuhuma za mahusiano na mjane mwingine zaidi ya huyu mfanyabiashara aliyelipiwa mahari ya us$ 36,000!
i'm a bachelor: Morgan tsvangirai

baada hali kuwa na wingu zito, ndipo mzee mzima alipoamua kutoa statement "talaka" kwa mchumba aliyepiwa mahari [au damages kama tsvangirai anavyodai].
i'm a bachelor: Morgan tsvangirai

wana siasa wa afrika tuna matatizo sana!

viongozi wengine huku kwetu tz wao hata hawana time na kuoa , ni kuchukua vya watu tu halafu wanataka uraisi , kazi kweli
 
Zim dollar K (2).jpg Zim dollar K (1).jpg Hizi ndio siasa za afrika unachagua kipi kizuri kwako Dollar au Sandwich?
 
Huyo dada alikuwa anataka kuongezea mtaji wake.
Mwizi huibiwa pia.
 
men are always stupid when it comes to women, always stupid, mnafikiria kwa masaburi tu

Kama wanaume wanafikiri kwa kutumia masaburi na bado wanafanikiwa kuwapata hao wanawake sasa hao wanawake tuwachukuliaje? stupid X2?
 
Mapenzi ya pesa siku zote hayadumu...

Lakini kwa pesa jamaa amevibiringinya vitoto kadhaa. Kamoja kana miaka 23 amekatunga kitambi tayari...pesa inaweza kutodumisha mapenzi kama usemavyo lakini inaweza kudumisha wapenzi lukuki wa kila ladha.........
 
hizo dola alizotoa ni zipi? za marekani US$ ama za kwao ZW$
Tujuze tafadhali
Usishangae ndugu kuwa hizo kazipata wapi,kumbuka hiyo ni hela ya mahari tu ,hao ndio viongozi wa kiafrika ,uongozi kwao ni fursa ya kutajirika,kama antoa mahari kiasi hicho je ana hela kiasi gani na huyu jamaa kabla hajapata kuwa Wazri mkuu alikuwa ni lofa tu,sasa ghafla bin vuu ndio huyo
 
Back
Top Bottom