Tsvangirai alipa mahari $36,000 na ng'ombe 10, ndoa yavunjika baada ya wiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tsvangirai alipa mahari $36,000 na ng'ombe 10, ndoa yavunjika baada ya wiki

Discussion in 'International Forum' started by Crucifix, Dec 1, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  impregnated_.jpg

  Waziri mkuu wa Zimbabwe alimwoa Locadia Tembo katika sherehe za kikabila tarehe 18 Novemba 2011 baada ya kutoa mahari ya dola elfu 36 na ng'ombe 10. Mke wake wa kwanza, Susan, alifariki katika ajali ya gari muda mfupi baada ya Bw Tsvangirai kuingia katika serikali ya umoja wa kitaifa na Rais Robert Mugabe mwaka 2009.

  Lakini tarehe 1 Dec 2011 Bw Tsvangirai mwenye miaka 59 ameghairi kuendelea na ndoa hiyo baada ya kuamini kuwa kuna njama nzito dhidi yake kupitia katika ndoa hiyo na hivyo kukosa imani kwa mkewe mpya. Pia ametangaza kuiarifu familia ya Bi Tembo juu ya kuvunja uhusiano huo.


  Bi Tembo mwenye miaka 39, ni mfanyabiashara wa bidhaa za rejareja na pia ni dada wa mbunge aliye katika chama cha Mugabe cha Zanu-PF - jambo ambalo lilileta utata kwa baadhi ya wafuasi wa MDC.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  dah! Alimnunua bei mbaya sana
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unajua vitu vya gharama kubwa sana maranyingi si vizuri .
   
 4. H

  Hebrew1 Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hizo dola alizotoa ni zipi? za marekani US$ ama za kwao ZW$
  Tujuze tafadhali
   
 5. n

  ngokowalwa Senior Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yawezekana ni ZIM $
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Crucifix,

  Hizo ni Zimbabwean DOLLARS au za Kimarekani. Haki ya kweli kichwa cha mtu mweusi na anasa!!
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 8. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo ndio utajua mwafrika ni nani. Kwenye mwanamke anakata hela tu hata kama hajui kesho kuna nini
  namkumbuka pw botha na hotuba zake!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  mahari ndogo sana hiyo. Kuna jamaa yangu alipotaka kuoa akaambiwa amtoe kafara mama yake mzazi
   
 10. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  kweli wewe ni mr. Pumba
   
 11. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  men are always stupid when it comes to women, always stupid, mnafikiria kwa masaburi tu
   
 12. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Bujibuji tafadhali Bwana, hii kali -- Mahari utoe kafara.
  Mungu wangu
  kama ni kuoa basi kunakoma siku hiyo hiyo
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,582
  Likes Received: 1,943
  Trophy Points: 280
  Huyu Tsivangirai si mmind wala nini.

  Huyu ndo walitaka wamnyang'anye Mugabe nchi wampe huyu?
   
 14. K

  Keil JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo mahari a.k.a "lobola" mnayoiongelea mbona ndoa yenyewe tayari imeishavunjwa na Bwana Tsvangirai kwamba alilengeshwa mkenge wa kisiasa kwa kuwa mchumba ana links na ZANU PF.

  Kwa wanaopenda kupata details zaidi wanaweza kusoma hizi links hapa:
  Mambo yalianzia hapa: Exclusive: Tsvangirai marries lover

  Then wambea wakasema mchumba ni mjamwepesi:
  Tsvangirai wife 'pregnant with twins'

  Ndipo siasa za vyama zikaingia kwenye hiyo ndoa:
  http://www.newzimbabwe.com/news-6567-MPs joke about Tsvangirai marriage/news.aspx

  Mambo yalipokuwa moto ndipo Tsvangirai akaahidi kuondoa kiwingu, lakini tayari kulikuwa na damage kubwa sana kwenye media na kwenye public opinion:
  Tsvangirai, Tembo to 'clear the air'

  Wakati hayo yakiendelea, kwenye youtube kulionekana clip mzee mzima akijitetea kwamba yeye ni "bachelor" so ana haki ya kuwa na mahusiano. It was a bit late na mambo yalishaharibika kwani tayari alishatuhumiwa kumtia mimba binti wa miaka 23 na kutaka kumtelekeza then akaua soo kwa kumpangishia nyumba. Haijulikani swala hilo limeishia wapi. Pia maelezo ya clip hiyo yalikuwa ni majibu ya tuhuma za mahusiano na mjane mwingine zaidi ya huyu mfanyabiashara aliyelipiwa mahari ya US$ 36,000!
  I'm a bachelor: Morgan Tsvangirai

  Baada hali kuwa na wingu zito, ndipo Mzee mzima alipoamua kutoa statement "talaka" kwa mchumba aliyepiwa mahari [au damages kama Tsvangirai anavyodai].
  I'm a bachelor: Morgan Tsvangirai

  Wana siasa wa Afrika tuna matatizo sana!
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "Miafrika ndivyo tulivyo" [Source: Ngabu]
   
 16. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sasa; are all men stupid or its Tsvangirai who is stupid? US$ 36,000 kwa ajili ya ko.ta!
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sio bei ya mwanamke, ni customs zao. mbona kuna kabila mtu unaoa kwa kutoa ngamia 50? na moja ni 1000$!
  Na watu wanaoa. It is most of the time the demonstration of your ability to mobilize ressources za kutosha within a fixed period of time. Bila hivo wewe sio mwanaume anaefaa kuoa.
  Sasa mtu kama huyo mlitaka wmuombe Tsh 35 000? anademonstrate nini hapo?
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  mimi sitakuja kulipa mahari
   
 19. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Bei in gharama inayolipwa ili mtu apate kitu kingine whether customs or not, so usikatae ukweli huyu mama bei mbaya!
   
 20. K

  Kiminyio Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza kitu chenyewe kinalipa, pili kinatoka familia bora, tatu kilikuwa kinataka mtaji zaidi wa biashara, nne ni program ya kumlimbwatisha mzee awe anafikiri kimasabauri na kunsahau the presidaa(freedom fighter), tano mshua alikuwa anataka kufunika kombe na vimeo vyake kikiwemo kile cha miaka 23 alichokipa mimba, sita...... endelezeni.
   
Loading...