Tssunami (Japan); Je IKULU ya TZ itapona kama yakitokea??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tssunami (Japan); Je IKULU ya TZ itapona kama yakitokea???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pascaldaudi, Mar 14, 2011.

 1. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na je viongozi hilo hawalioni?? nadhani sasa ndiyo muda pekee wa kufikiria kuhamia Dodoma.
   
 2. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pia ukiangalia MTA yetu sidhani kama inaweza kutabiri kwa ufasaha!!
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  kwa sasa acha iwe hapo hapo, labda baada ya 2015
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wahamie upesi.
   
 5. k

  kalechee Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BOT je?,..utashangaa nchi hii important institutions ziko karibu na bahari,tatizo viongoz wetu wanapenda starehe ndo mana hawataki kuhama Dar
   
 6. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  kama Tsunami inatokea na Kikwete na Ccm yake bado wako madarakani itakuwa jambo jema kwani itakuwaimesaidia kutupunguzia mizigo ya kulipa pensheni watu ambao hawaku-deliver.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  ndio wataona umuhimu wa kwenda dodoma.
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  • Yaani katika majanga yote yakuikumba tanzania wewe umefikiria tsunami.
  • Yaani kitu cha kuwa concerned nacho ni jengo la ikulu na sio president au watu
  kwanza kama umesoma geography unatakiwa kujua probability ya tsunami kutokea tanzania ni ndogo. Tsunami na matetemeka ya ardhi ya ukanda wake.

  Pili elewa hata tusnami ikitokea cha muhimu kujuliza ni uhai wa watu akiwemo rais na si jengo. Tujiulize ufanisi na mchanisim ya ku evacuate na kuokoa watu yakitokea majanga. Je zipo sera?

  Sabau tsunami ikitokea kama kuna sera sahihi jengo au majengo yanaweza kuhahribbika but kupoteza maisha ya watu kutapungua

  Kama wewe wasi wasi wako ni Tsunami basi elwea Dodoma iko katika ukanda wa bonde la ufa na hilo bonde ni sehemu ya activity ya tetemeko la ardhi japo matemeko ya ukanda wa bonde la ufa sio makubwa.

  Lakini swali la msingi pia kwa nini hawataki kwenda dodoma?
   
Loading...