Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Kuna taarifa hii imekuwa ikisambaa ktk makundi ya WhatsApp
Lakini TSN wameikanusha na kusema ni upotoshaji
Lakini TSN wameikanusha na kusema ni upotoshaji
Hatare sana hii wauza papuchi kwa bei chee wataongezeka awamu hii
Tuwaombee tusiwadhihaki hatujui kesho yetu huu ni msiba wetu wote! Wanaopunguzwa wengi ni chini ya miaka 35, hii ni nguvu kazi ya taifa yenye maono bado na ndoto nyingimbunye zitakopeshwa pia na kuuzwa kwa bei rahisi
Tena unakua kwa 4.7% ila tunataka by end of Dec 16 uwe angalau kwa 4.5%. [HASHTAG]#MAGAZIJUTO[/HASHTAG]Uchumi unaimarika
Tena unakua kwa 4.7% ila tunataka by end of Dec 16 uwe angalau kwa 4.5%. [HASHTAG]#MAGAZIJUTO[/HASHTAG]
Tuwaombee tusiwadhihaki hatujui kesho yetu huu ni msiba wetu wote! Wanaopunguzwa wengi ni chini ya miaka 35, hii ni nguvu kazi ya taifa yenye maono bado na ndoto nyingi
Ni kati ya hao kuna wakwe waume na wake zetu bila kusahau watoto
Itategemea pia, utakapolima nyanya alafu Ndoo ya lita 20 ikauzwa buku pale msanvu utajuta sana.Jamani mvua ndio hizi zinaenda kuanza kama kunamenye shamba humu tualikani minije kutoa nguvu kazi wenda tukivuna tutapunguza huu ukali wa maisha maana kwasasa ajira zetu zimekua mguu nje mguu ndani
ila kweli mkuuTuwaombee tusiwadhihaki hatujui kesho yetu huu ni msiba wetu wote! Wanaopunguzwa wengi ni chini ya miaka 35, hii ni nguvu kazi ya taifa yenye maono bado na ndoto nyingi
Ni kati ya hao kuna wakwe waume na wake zetu bila kusahau watoto
halafu hiyo karatasi ya juu kiswahili na kiingereza lolz nilijua tu ni fambaKuna taarifa hii imekuwa ikisambaa ktk makundi ya WhatsApp
View attachment 438152
Lakini TSN wameikanusha na kusema ni upotoshaji
View attachment 438207
Viwanda vinajengwa na Uchumi umeimarika sanaUchumi unaimarika