TSN kupunguza wafanyakazi kuanzia Novemba 30, 2016? Kampuni yakanusha

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Kuna taarifa hii imekuwa ikisambaa ktk makundi ya WhatsApp
1479865746159.jpg

Lakini TSN wameikanusha na kusema ni upotoshaji
IMG_0825.JPG
 
Hatare sana hii wauza papuchi kwa bei chee wataongezeka awamu hii

mbunye zitakopeshwa pia na kuuzwa kwa bei rahisi
Tuwaombee tusiwadhihaki hatujui kesho yetu huu ni msiba wetu wote! Wanaopunguzwa wengi ni chini ya miaka 35, hii ni nguvu kazi ya taifa yenye maono bado na ndoto nyingi
Ni kati ya hao kuna wakwe waume na wake zetu bila kusahau watoto
 
Nani awaombeeee

Mshana jiheshimu banaaaa

Watajua wenyewe

Everybody for himself but God for us all
 
MTU anasema, uchumi unaimalika, huku maduka, makampuni , ma bank, ma hotel, na wajasiliamali wadogo wadogo wapo jiapanda why
 
Jamani mvua ndio hizi zinaenda kuanza kama kunamenye shamba humu tualikani minije kutoa nguvu kazi wenda tukivuna tutapunguza huu ukali wa maisha maana kwasasa ajira zetu zimekua mguu nje mguu ndani
 
Itategemea pia, utakapolima nyanya alafu Ndoo ya lita 20 ikauzwa buku pale msanvu utajuta sana.
 
Tuwaombee tusiwadhihaki hatujui kesho yetu huu ni msiba wetu wote! Wanaopunguzwa wengi ni chini ya miaka 35, hii ni nguvu kazi ya taifa yenye maono bado na ndoto nyingi
Ni kati ya hao kuna wakwe waume na wake zetu bila kusahau watoto
ila kweli mkuu
 
Inaonekana hao wezi ndo walikuwa wateja madhubuti wa mabenki,hoteli,supermarket, maduka,kumbi za starehe,mabaa,wapanda ndege kama mukulu anavyosema basi nchi nzima ilikuwa ya wezi.
 
Back
Top Bottom