TSD Wilaya temeke wanakwamisha walimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TSD Wilaya temeke wanakwamisha walimu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mapengo junior, Jun 28, 2011.

 1. mapengo junior

  mapengo junior JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Tsd temeke wanasumbua,hawataki kutoa barua za uthibitisho wa ajira kwa baadhi ya walimu sasa ni miezi saba..walimu wamejaza fomu za ajira tayari kila wakienda kufatilia hizo barua za ajira wanaambiwa kesho kesho.hivyo wanafanya kazi bila barua za ajira je ni haki???mwenye uwezo wa kusaidia hili tunaomba msaada na wahusika wizara ya utumishi nendeni Tsd temeke mkaone madudu..ahsante..
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  mhh tsd ndo nini?
   
Loading...