Tsd temeke

mapengo junior

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,137
275
ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kusaidia walimu wa sec kupata barua za ajira wilayani temeke namuomba asaidie kwani tsd temeke hawafanyi kazi..hasa yule katibu wake bi SUBIRA MWAKITEBE..tunaomba mwenye uwezo wa kurekebisha basi asaidie..afisa elimu wilaya na mkoa pia wapo kimya,.ahsanteni
 
Yaani hata mimi kuna jamaa yangu ni mwalimu wa primary amejitahidi na sasa ana ka degree kake amepeleka vyeti vyake hapo wilayani lakini sasa ni mwaka wa pili hawajambadilisha.Hao maafisa utumishi wa manispaa ya temeke wanakatisha tamaa kwa kweli.
 
Afisa Elimu Wilaya na Mkoa hawana power yoyote ile ya kumsimamia au kumlazimisha chochote kati wa TSD Temeke. Mbona uko jirani na mwajiri wake halafu hunufaiki Mkuu? Just nenda Ubungo Plaza ghorofa ya 6 na uulizie Afisa Ajira na Madaraja au Naibu Katibu (TSD) unapata prompt response. Shida yenu Walimu hamjui channel za kudai haki zenu. Kama unahitaji msaada zaidi just ni PM
 
Yaani hata mimi kuna jamaa yangu ni mwalimu wa primary amejitahidi na sasa ana ka degree kake amepeleka vyeti vyake hapo wilayani lakini sasa ni mwaka wa pili hawajambadilisha.Hao maafisa utumishi wa manispaa ya temeke wanakatisha tamaa kwa kweli.
NI unfair kabisa mwambie aende pale Ubungo Plaza (TSD Makao Makuu) ghorofa ya 6. Afisa Utumishi wa Manispaa hana kosa lolote sio kazi yake hiyo
 
Back
Top Bottom