Hahahaahhaahah we jamaa Ni mbunifu vibaya mnoo
Jamiforums mitano TenaNimeishia kutabasamu na kutikisa kichwa tu
Mbingu utaisikia tu yani hadi wewe umeelewa kinachozungumzwa hapa..🤣jamani
kaka huyo sio mimiMbingu utaisikia tu yani hadi wewe umeelewa kinachozungumzwa hapa..
Nakufahamu mama kujikana! We ni mshirika usivunge ukiona nzurinzuri uwe unanitumia link hayo ndo mambo achana na kukwepa..😂kaka huyo sio mimi
Sawa my brother🤣🤣🤣Nakufahamu mama kujikana! We ni mshirika usivunge ukiona nzurinzuri uwe unanitumia link hayo ndo mambo achana na kukwepa..😂