Sawa kabisakufunga watafunga sana tu;
- wana bei za ajabu haziendani na quality
- kodi za pango sio realistic
- wizi wa materials kutoka kwa staffs
- mfumo mzima wa ukwepaji kodi unasababisha walio kariakoo kukwepa ushuru hivo walipa kodi na walio open kwenye biashara kuumia
- bei zao ni outrageous
- target markey haina peza za kuspend... the same product ukicheki similar shop in SA bein inakua half
Mkuu, sidhani kama hapa serikali inatakiwa ilaumiwe.Ni kweli kabisa Mkuu. Wakati mwingine tunakosa kujitendea haki wenyewe. serikali imekuwa ikiahidi kila mwaka kurekebisha mambo kadhaa ili kuwezesha urahisi wa kufanya biashara, lakini imebakia kuwa blah blah tu. Wenzetu kenya, Uganda na Rwanda wanaangalia sana hizi ripoti za doing business na kufanya yale yanayoonekana kuwa yanawakwamisha... sisi tunazidi kupiga siasa tu
Josephine is right, hayo majengo mengi yamejengwa kwa mikopo, yakikimbiwa na wateja yatashindwa ku meet banks installments. Yatatakiwa kuuzwa, je nani atanunua kitu kisicho na demand? Banks zilifanya research too late wamegundua kuwa biashara ya real estate itaangua baada ya mwaka 1 na itakuwa na big impact kwenye uchumi wa TZ. Na sasa ma bank hayakopeshi tena Mortagage financing
Kwa hii reason uliyotaja ya mortigage financing sawa, but siyo ndani ya mwaka mmoja. Kwa tanzania especially DSM space za kupanga zinahitajika sana. Ukiangalia majengo mengi ya mjini, yanakuwa tayar yameshakuwa occupied fully kabla hata hayajakamilika.Josephine is right, hayo majengo mengi yamejengwa kwa mikopo, yakikimbiwa na wateja yatashindwa ku meet banks installments. Yatatakiwa kuuzwa, je nani ataunua kitu kisicho na demand? Banks zilifanya research too late wamegundua kuwa biashara ya real estate itaangua baada ya mwaka 1 na itakuwa na big impact kwenye uchumi waa TZ. Na sansa ma bank hayakopeshi tena Mortagage financing
True real estates are so artificial.....karibu ku compare up market residential house ,masaki na sandstone ..johanesberg....you can hardly get a bungalow with garden and pool at masaki for 2 m dollars ....ukienda johanesburg upmarket neighborhood ..you get better than that for just usd 500'000
Tatizo kwenye uchumi wa nyumba ni kuwa serikali haija develop maeneo ya kutosha kwenye kiwango cha upmarket...mfano...tungekuwaa na mitAA YENYE lami na huduma zote muhimu ...segerea,kurasini,mbezi Moro,mbezi bagamoyo na ifanane na oyster bay ..bei ya nyumba zingeshuka...kwani picha ya sasa ni kuwa middle class wanaongezeka na wote wana dream Kuishi ..upanga,mikocheni ,masaki na oyster bay....ndio maaana bei zinapanda......tukiweka facilities huku kwinginee...bei ya nyumba zitaanguka na watu wataweka mikono kichwani.....
Kuna aliyeongelea spending level ya middle class's wetu..tatizo tumetoka kwenye uchumi wa kijamaa.....ndio maana unakuta bado watu wengi wanaoibukia kiuchumi ...wanakuwa wazito kwenda kutumia maeneo Kama sea cliff au mlimani....hakuna wenzao ...na wengi wanaoenda watuamie mahali watakapotambulkka....refer to five levels of manslow.......ila vijana wengi wa Hadi miaka 25 ...yaani watoto wa middle class ...wanaoenda ku spend ....hii inaashiria kuwa miaka mitano ijayo level ya kuspend ya middle class itaongezeka ........fanya utafiti Mdogo nenda mlimani city ...kuna vijana wengi pale Hawaogopi kutumia..wengine wa university ,wengine ndio wameanza kazi....watu Wenye miaka 35 kwenda juu ...wana hofu kiasi ya kutumia pesa ....wengi tumetoka kwenye umaskini au kuzungukwa na umaskini ....so tuna hofu kubwa ya kuwa maskini
Nchi ukitaka kujenga uchumi lazima watu wajengewe Tabia ya kutumia pesa...
Hata hivyo inabidi authorities zinazohusika,kuliangalia hili...
Ofisi zangu zilikuwa Mayfair building,na tulianza na makampuni mengi pale,hadi Shoprite... Lakini ofisi zilianza kufungwa moja baada ya nyingine,baada ya muda kwa kuona,kodi ni kubwa,kulinganisha na biashara yenyewe...
You need your own,je umeshafanya tafakari juu ya kile kilichoongelewa?
Biashara nyingi zilizo kwenye majengo makubwa zitafungwa nyingi,kwasababu zinaendeshwa kwa hasara sana.na moja ya sababu ni kodi.Majengo yote yanatoza kodi kwa dola,na dola hapa kwetu haina msimamo kila kukicha inapaa kama njiwa
angani.
Kwa Taarifa hayo ya kwenu unayozungumzia yameshaanza kufungwa mda,tunakwenda kushuhudia anguko kubwa sana la uchumi miezi miwili ijayo.
Hata ninyi wakina Rejao mtakwenda kubadili kauli zenu,kwani ushabiki utawashinda.
Kwa hii reason uliyotaja ya mortigage financing sawa, but siyo ndani ya mwaka mmoja. Kwa tanzania especially DSM space za kupanga zinahitajika sana. Ukiangalia majengo mengi ya mjini, yanakuwa tayar yameshakuwa occupied fully kabla hata hayajakamilika.
Awe mkweli huyu jamaa anadai kuwa Dar kuna MALL 2 tu?
MLIMANI CITY
SHOPPERS PLAZA-Msasani
SHOPPERS PLAZA-Masaki
MAYFAIR PLAZA
SEACLIFF VILLAGE
QUALITY CENTRE
Bado nyingine ndogo ndogo...O'bay Shoping Centre,JM Mall,Tevi etc kingine kinachofanya WaTZ tusiwe na utaratibu wa ku-shop ni utitiri wa Boutique na Groceries stores zilizopo kila baada ya mita 10... Kampala,Lusaka,Nairobi,Kigali hakuna hilo pole zenu wa-Kenya...
Huyu hana habari
hastuki
and she doesn't care about the job loss kwa watanzania
she doesn't care about the loss Government will get
and she has supporters hapa JF kuwa anaonewa
Tatizo ni kuwa majengo mengi ya biashara yamejengwa kwa mikopo yenye riba kubwa na muda mfupi wa kuilipa, kwa mfano mikopo ya uwekezaji kama $15mill inapaswa kulipwa ndani ya miaka 5-8 unategemea nini wakati riba ni 9% kwa $ na 16% kwa TZS? Kwa kifupi Benno Ndulu na wenzake (MOF) ndio tatizo maana BOT haipo tayari kushusha viwango vya riba.. kuna jamaa kakopa CBA aka-burgain riba kwa kiwango fulani mwisho akaambiwa wakishuka chini ya hapo wataingia kwenye mzozo na BOT japo wanaweza kushuka zaidi.. tunapaswa kushusha viwango vya riba toka double digit to single digit ili kuinua uchumi wetu.kaka kwa nini rent ipo juu? demand na supply with the absence of the governmet?..
Na sababu zoote hizo fine! Pia nguo zao ni za poor
quality bado mr. Price naye anauza poor quality clothes. Ukinunua tshirt ukifua inageuka kanzu inafika kwenye magoti
Mkuu Tusker Baridi, hawa jamaa wameshindwa tuu kufanya biashara kwa sababu bei zao sio attractive kwa level ya middle class ya Tanzania japo nakubali ni kweli reantal fee ya nyumba ni kubwa, ukweli ni kuwa hao waiowatarget kama middle class kwa bei zao, wan ao aford sio middle class bali ni high class ambao wana access kupata kila kitu huko vinakotoka.Awe mkweli huyu jamaa anadai kuwa Dar kuna MALL 2 tu?
MLIMANI CITY
SHOPPERS PLAZA-Msasani
SHOPPERS PLAZA-Masaki
MAYFAIR PLAZA
SEACLIFF VILLAGE
QUALITY CENTRE
Bado nyingine ndogo ndogo...O'bay Shoping Centre,JM Mall,Tevi etc kingine kinachofanya WaTZ tusiwe na utaratibu wa ku-shop ni utitiri wa Boutique na Groceries stores zilizopo kila baada ya mita 10... Kampala,Lusaka,Nairobi,Kigali hakuna hilo pole zenu wa-Kenya...