Mpenzi
Member
- Nov 3, 2009
- 49
- 0
Naombeni kuuliza hivyo hizi habari zote za Uchaguzi na ushindi wa majimbo tunazoangalia zinaaminika vipi? Hata kama kuna freedom of speech Jamiiforums inahitaji ku-monitor na ku-verify hizi habari kama ni zaukweli. Mtu ana-post information ukiangalia time in American time, sasa utaaminije hizi habari wakati uchaguzi uko Tanzania?