Trump most admired men in USA .Gallup

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066
2,000
inakuwaje mtu wanaemchukia kutwa drama anakuwa the most admired men in USA.Obama almost tied with Trump .
 

Attachments

  • 47512974-11A5-4BE4-9760-D572CA5EFA1A.png
    File size
    7.4 KB
    Views
    0

hukumundo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
849
500
Toka nilipoona mwaka 2016 baada ya debate moja ambapo Trump alifanya vibaya kabisa wakamtaja kuwa ndiye alikuwa mshindi wa duru lile, sina imani sana na hizo polls.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom