Trump kutopewa taarifa nyeti za Marekani ambazo hutolewa kwa Marais wastaafu

Biden Yuko serikali kwa miaka 30+, sema Kama sheria inawataka marais wastaafu wapewe siri basi lazima na Trump atapewa kwa sababu katiba unataka hivyo, usipofanya hivyo utavunja katiba, utabidi upeleke shairi mahakamani ndipo mahakama iamuru kuwa Trump asipewe hizo taarifa.

Biden ni mgomvi Sana maana alianza kuomba siri za jeshi la Marekani hata kabla hajaapishwa kitu ambacho hakikuwa sahihi
Tarehe 8 mwezi huu ndio itaamua icho unachodai, Trump amekuwa impeached sasa tarehe hiyo ana kesi ya kujibu, kama wale wajumbe watakubaliana kile alichokifanya kuhimiza wafusi wake kuvamia bunge, Trump sio tu kunyimwa siri lakini hatoshiriki shughuli zozote kisiasa
 
Nadhan hujaelewa hakuna anaepinga hilo sisi tunazungumzia kujua siri za serikali kwa miaka 70 ukiwa sio raisi na kujua siri za serikali ukiwa raisi kwa miaka minne. Unataka kusema biden anamzid trump kujua siri hizo?
biden amekuwepo serikalini for years. trump kaja juzi tu.
kutokana na nyadhifa ambazo biden amewahi kuhudumu kwenye serikali ya america. biden ni mzoefu na anajua issues nyingi kuliko trump.

na vile ni president kwa sasa. ana full access kabisa.
 
Biden Yuko serikali kwa miaka 30+, sema Kama sheria inawataka marais wastaafu wapewe siri basi lazima na Trump atapewa kwa sababu katiba unataka hivyo, usipofanya hivyo utavunja katiba, utabidi upeleke shairi mahakamani ndipo mahakama iamuru kuwa Trump asipewe hizo taarifa.

Biden ni mgomvi Sana maana alianza kuomba siri za jeshi la Marekani hata kabla hajaapishwa kitu ambacho hakikuwa sahihi
Biden yupo serikalini miaka 40+ kama Seneta na VP,Ila Trump amekaa ikulu 4yrs kama rais,Maana yake ni kwamba,kuna siri nzito za serikali hata vice president huwa hapewi briefing bali ni rais peke yake.Inteligency agencies zote huwa wana report direct kwa rais na sio VP.Kuna covert ops za jeshi na inteligency agencies raisi peke yake ndio anaambiwa na kutoa approval,hizi mtu mwingine hatga ukae serikalini miaka 100 huwezi kuzijua labda zivuje..
 
Hujanielewa.,
Nilikua natofautisha uzoefu wa Biden na Trump

Biden anajua mengi kuhusu Marekani kuliko Trump.,usisahau amekuwa VP wa Obama 8 yrs na kuwepo kwenye Senate na Congress miaka nenda rudi...Trump hajawahi kuwa mtumishi wa Umma Marekani
Kuna vitu rais anavijua VP hajui,pia vitu vyote VP anavijua lazima vipite kwa rais kwanza...VP ni ceremonial position tu,awepo au asiwepo hakuna maana yyte labda rais afe au aumwe..Halafu kujua vitu vingi sio issue,issue ni kwamba icho unachokijua wanakijua wangapi,thats it.
 
4 yrs to beat 40+ years...u can argue wth my ancestors now.,i cant no more🙌🏽
The point sio experience kwenye government maana unaweza kuwa senator for 30 yrs na hujawahi kaa hata kwenye intelligence committee, the point is the access you have to national top secrets, which is clearly only the president have that access...Understand the point usibishe tu ili ushinde
 
Biden yupo serikalini miaka 40+ kama Seneta na VP,Ila Trump amekaa ikulu 4yrs kama rais,Maana yake ni kwamba,kuna siri nzito za serikali hata vice president huwa hapewi briefing bali ni rais peke yake.Inteligency agencies zote huwa wana report direct kwa rais na sio VP.Kuna covert ops za jeshi na inteligency agencies raisi peke yake ndio anaambiwa na kutoa approval,hizi mtu mwingine hatga ukae serikalini miaka 100 huwezi kuzijua labda zivuje..
Ahsante wewe umeelewa ninachokimaanisha nadhani hao pia wameelewa
 
JB is just a single largest epitome of a real, blatant puppet in the entire world -- he must be told what to do, how, when, where. His brain does not have to work or exercise his free will anymore. Trump wanted to stand as a real president -- something that the previous corrupt system could not allow it further.
Acha kusema mambo ya kufikirika; serikali ya Marekani haiendeshwi na mtu mmoja president, bali inaongozwa na institution ya nzima ya presidency. Trump alitaka kuongoza serikali kama ni yeye tu, kama ambavyo anaongoza Trump orgnizatiosn, ikamshinda ndipo ukakuta serikali inaoongoizwa na "acting" officials wengi sana.
 
Hawana lolote hawa jamaa ndio wameleta Corona ni hisia zangu zina niambia hivyo maana walisha yumba kiuchumi nadhani mipango haikwenda sawa China ilitakiwa ndio wauguwe sana ndio maana China kakaza adi leo hataki mtu aingiye kwake hovyo!
Na inawavuruga kwelikweli
 
Mie naona kwa sasa Trump ndie mwenye siri nyingi na nzito kuhusu Marekani kuliko Beden.
Kosa la Trump ni kutobkuremba issue au kuwekeza kwenye propaganda
Avujishe aone kama hajadungwa kirusi akafa, ngoja ajifariji
 
The point sio experience kwenye government maana unaweza kuwa senator for 30 yrs na hujawahi kaa hata kwenye intelligence committee, the point is the access you have to national top secrets, which is clearly only the president have that access...Understand the point usibishe tu ili ushinde
You can also join him in the argument wth my ancestors.,
Sina interest kushinda chochote
 
Kuna vitu rais anavijua VP hajui,pia vitu vyote VP anavijua lazima vipite kwa rais kwanza...VP ni ceremonial position tu,awepo au asiwepo hakuna maana yyte labda rais afe au aumwe..Halafu kujua vitu vingi sio issue,issue ni kwamba icho unachokijua wanakijua wangapi,thats it.
Kindly join him
 
Tarehe 8 mwezi huu ndio itaamua icho unachodai, Trump amekuwa impeached sasa tarehe hiyo ana kesi ya kujibu, kama wale wajumbe watakubaliana kile alichokifanya kuhimiza wafusi wake kuvamia bunge, Trump sio tu kunyimwa siri lakini hatoshiriki shughuli zozote kisiasa
Trump akiwa convicted kwa ile ishu ya incitement of insurrection, Ata zuiliwa kuongoza shirika lolote la uma na hatopewa mafao yeyote yale ya raisi wastaafu.
 
Back
Top Bottom