Trump : Kama Mexico hawalipii ukuta hakuna haja ya makutano

Wakati wa kampeni mwanasiasa anaweza kukuahidi chochote.

Wengine hata ukiwaambia washushe Malaika baada ya kushinda watasema ndiyo.

Wakishashinda wanakuwa watu wengine kabisa.......
 
Ngoja asikie Mrusi kaanza ushirikiano na Mexico au Iran kama si Korea... mwenyewe ataomba yaishe.
Na jamaa ili kuwapa Pressure CIA na Pentagon basi wanatangaza kujenga Army Base yao hapo.

U Super-power una gharama zake.
 
marekani ukitaka awe mdogo ongelea mambo ya vita kwenye ardhi yao. mrusi akisema ajenge army base hapo marekani atachanganyikiwa balaa
 
Ngoja asikie Mrusi kaanza ushirikiano na Mexico au Iran kama si Korea... mwenyewe ataomba yaishe.
Na jamaa ili kuwapa Pressure CIA na Pentagon basi wanatangaza kujenga Army Base yao hapo.

U Super-power una gharama zake.
Umeona mbali sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom