Trump kakurupuka. Na wamerekani wako njia panda

.
tapatalk_1578565309559.jpeg


Jr
 
"Beautiful military eauipment can not rule the world, people will" hii kauli naiona ya kisiasa zaidi, vita sio uungwaji mkono wa watu wako kwamba wapo wengi, vita ni umejiandaaje, una zana zipi, na hizo silaha za nuclear kwa upande wangu naziona hatari hata kwa anae zimiliki. Ni gharama sana kutunza hivyo vinu visije kuvuja, kwasababu mionzi yake ni hatari sana kwa uhai, kwa hiyo hata Iran anapoteza pesa nyingi kwenye kutunza hivyo vinu. Siamini kama kuna siku wataweza kuzitumia hizo silaha, kuzimiliki ni kama njia fulani ya kuonesha wengine na wewe unazo wasikuchezee, but pia zinakuumiza gharama ya kuzi handle.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes Vita ni watu na uzalendo wao kwa nchi yao,Ndio maana US na madege/tech yake yote alikula kichapo heavy kutoka kwa wa-vietnan mpk wakakimbia wkt Vietnam ilikua na silaha za kawaida tu.

dodge
 
Marekani hawezi kwenda Vitani kamwe! Anacho fanya yeye pale Irani ni kuwabinya taratibu wale makonk hasa wanasayansi na makonk wa vita kama huyo jamaa aliyeuawa juzi.

Kuna Makala moja niliona jinsi wanasayansi wa Irani wanavyopotea katika mazingira ya kutatanisha yote hii ni kufanya Irani iwe kama kibudu.

Iran saa hii anashangilia kalipiza kisasi kwa kumshambulia kambi za USA, mashambulizi ambayo haya kuwa na impact yeyote kwa USA lkn wao wameshapiteza kamanda wao tegemewa,!

Marekani hapo alipo anacheka na kugonga mvinyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anagonga mvinyo wkt washirika wa US wa kijeshi huko Iraq wanatoa wanajeshi wao na kuwahamishia kuwait.

dodge
 
Back
Top Bottom