Katika kutimiza ahadi zake wakati wa UCHAGUZI Trump muda mfupi uliopita ameweka sahihi Miswaada kadhaa miongoni mwazo ni KUJIONDOA kwa Marekan katika MKATABA wa KIBIASHARA wa Trans Pacific Partnership Trade Deal TPP.
Mkataba huo unaojumlisha mataifa 12 utakuwa ni katika juhudi zake kujitoa kwenye mikataba isiyo na TIJA kwenye nchi yake.
Trump pia AMESIMAMISHA AJIRA za serikali mpaka hapo baadaye.
Pia ameweka SAHIHI MARUFUKU kwa mashirika yasiyo ya kiserikali KUPOKEA fedha toka serikalini ili kusaidia UTOAJI wa MIMBA nchi za nje.
Huyo ndo Trump.