Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Anaenda kuchukua lile dege letu la canada.Kwani safari hii aimuhusu baba J...!
Nimeona kama Bomba Dia inajazwa Wese..
Anaenda kuchukua lile dege letu la canada.Kwani safari hii aimuhusu baba J...!
Nimeona kama Bomba Dia inajazwa Wese..
Kikao hakiwez kuendelea bila uwepo wa magufuli.Non-stop DC to Zurich 6658.78km wanakutana matajiri wa dunia. Masikio yote Trump atatema madini gani jamaa.
Hiyo kesho
Duh, mpaka raha!!alishuka Zurich Na Air Force one. Akachukuliwa Na chopper Hadi Davos maamaye
View attachment 684120
Labda kwa kisukuma lakini so lugha ya malkia!!Nasikia magufuli nae anajipanga akatoe speech huko Davos mamaaae
Lugha ime come by ndege. Muache msukuma akakomae huko hukoLabda kwa kisukuma lakini so lugha ya malkia!!
Are u coraputedi!? Corapusheni is a cancer