Rais Trump na serikali yake ametoa masaa 96 Mashirika ya ndege toka Mashariki ya Kati yawe yametimizamaagizo haya.
Hii ni baada ya lile agizo lake la kwanza kutupwa na mahakama.
Katika taarifa iliyotolewa na DHS Department of Homeland Security Ni Marufuku kuingia ndani ya ndege ukiingia Marekani ukiwa umebeba vifaa vifuatavyo:
Laptop,
Camera,
Video game,
E reader,
DVD player,
Ama chombo chochote cha kielectroniki kilicho na saizi kubwa zaidi ya SIMU ya mkononi.
DHS imesema hii ni baada ya kupata duru za kiitelijensia kwamba Magaidi huenda wakatumia vyombo hivi KUANGUSHA ndege za ABIRIA za Marekani.
Vyombo hivi vitaruhusiwa tu kuingia katika ndege kama CHECKED BAGGAGE lakini si KUVIBEBA mikononi. Wafanya biashara ambao hupenda KUBEBA laptops ilikuendelea kufanya kazi wakiwa safarini, WAMESIKITISHWA na uamuzi huo.
DHS wamesema kama Magaidi walitumia laptop katika tukio lilotokea Mogadishu Somalia HAPO NYUMA wakati mtu alipopanda ndege na LAPTOP ikiwa na Bomu. Bomu lilipuka wakati ndege ikipaa juu hawataweza kuchukuwa masawala ya usalama wa nchi yao hivi hivi tu.
Katika tukio hilo ndege haikuwa imepaa juu sana rubani alijaribu sana mpaka ikatua salama Mogadishu ikiwa IMETOBOKA upande mmoja.Mashirika ya ndege yaliyozuiwa na kuagizwa KUZINGATIA maagizo ya DHS ni:
Chanzo: USA today/BBC

- Royal Jordanian
- Egypt Air
- Turkish Airlines
- Saudi Arabian Airlines
- Kuwait Airways
- Royal Air Maroc
- Qatar Airways
- Emirates
- Etihad Airways
Chanzo: USA today/BBC