Trump atimua mabalozi wote walioteuliwa na Obama

cfb0eb5585e627f631976b00941deb3d.jpg
 
Sidhani kama your assessment of Trump is correct.Infact kama atafanikiwa kutekeleza malengo yake kama alivyoainisha kwenye inauguration speech yake,he could be the best American President ever. Tatizo ni kwamba NWO wamempaka matope mno na watu bila kujua wamekubali ujinga wao.Please read between the lines his inauguration speech, it is the best ever, to the point.
Sijawahi kushuhudia hotuba mbovu na ya kibaguzi kama aliyohutubia huyo Bw. Trump. Kwa kifupi Urusi wamefanikiwa mpango wa kuiangusha marekani Kwa kumuingiza Trump White house
 
TRUMP kasitisha Ajira Mpya huko Marekani, sasa anafanya Uhakiki wa Majipu na Wafanyakazi hewa....na ametoa agizo Mabalozi wote warudi Nyumbani.

Nahisi hiyo ILANI katumiwa kwa Email kutoka Chato!..

[HASHTAG]#DUNIA[/HASHTAG] na Inyooshwe tu!...hakuna namna!.
 
Rais wa 45 wa Marekani amewatimua mabalozi waliokua wakiwakilisha nchihiyo dunia nzima sijui hii imekaaje kwani najiuliza nikua hawakumuunga mkono au shida ilikua wa nini mpaka kufikia maamuzi hayo nafkir hii tumbuatumbua sasa ndo staili ya kutawala
 
Ni kawaida Marekani kubadilisha mabalozi wote pale ambapo Chama kilichokuwa kinatawala kimeshindwa kwenye uchaguzi kwani sera zao zinatofautiana kwa kila chama
 
Back
Top Bottom