OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,971
- 114,276
Kwa mtu asiyejua mishahara ya watumishi wa taasisi za serikali anaweza kuniona juha!Watumishi wetu walio wengi wana mishahara ya hovyo sana.Ni mishahara isiyoweza kitoboa hata nusu ya mwezi unaofuata.Unalipwa salary tarehe 25 mpaka tarehe 10 mshahara umekwisha.
Hizi ndoto za utendaji uliotukuka na maviwanda sijui kama utafaniki kwa watendaji hawa kulipwa mishahara mibovu kiasi hiki. Mtu mwenye njaa na anayeshindwa kumudu majukumu yake hawezi kufikiria barabara
Wakati maombi ya mikopo na misaada aliyofanya huko Morocco,India,WB na sasa South Afrika ikiendelea kufuatiliwa nina shauri sasa yatumwe maombi maalumu ya kumuona Trump rais wa US atusaidie kulipa mishahara ya watumishi hawa