Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)

Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na Sudan

Serikali ya Tanzania chini ya Rais Magufuli nini kimetokea? Hadi tufikiriwe kuwekewa vikwazo?

Au Marekani wanatuonea wivu tu?


========

(Reuters) - The Trump administration is planning to add seven countries - Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania - to its travel ban list, U.S. media reports said on Tuesday.

Some countries will face bans only on some visa categories, the Wall Street Journal reported. The list of countries was not final and could yet change, website Politico said.

U.S. President Donald Trump said in an interview with the Journal that he was considering adding countries to the travel ban, but declined to state which ones. Politico said an announcement was expected as early as Monday.

The move is likely to sour ties between the United States and the countries affected under the expanded ban.

Nigeria, for example, Africa's largest economy and most populous country, is a U.S. anti-terrorism partner and has a large diaspora residing in the United States.

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.

The Department of Homeland Security did not immediately respond to requests for comment. The State Department declined to comment.

Under the current version of the ban, citizens of Iran, Libya, North Korea, Somalia, Syria and Yemen, as well as some Venezuelan officials and their relatives are blocked from obtaining a large range of U.S. immigrant and non-immigrant visas.

Chad was previously covered under the ban but was removed in April 2018.

Citizens of the countries can apply for waivers to the ban, but they are exceedingly rare.

(Reporting by Makini Brice; Additional reporting by Arshad Mohammad, Steve Holland and Humeyra Pamuk in San Jose, Costa Rica; Editing by Mohammad Zargham and Tom Brown)
 
Bandiko liko na sababu tayari, ni kazi kwa wenye mamlaka kufanyia kazi au waachie Simba achague windo lake!

Halafu wanajitutumua mno wakiwa huko na macho yao wanasahau wajibu wao.

Si majuzi tu waziri alikuwa huko na selfies kama zote utafikiri maswahiba!

Weupe ni weupe kila kitu sio roho nyeusi kama za kibongo bongo
 
Hatutaki mashoga, sauti ya RC kimbelembele ilisikika. Tumezuia line za watu na vitambulisho vya taifa, kazi bure bado kuna majanga. Mawaziri wetu ni wapenda mipasho tu, sawa kabisa.

Hatuwakagui kiundani wanaosafiri kwenda USA, bado majangiri wanapitisha mengi. Uzamiaji. Nchi yetu ina wa ile dini... wengi.
 
Hatutaki mashoga, sauti ya RC kimbelembele ilisikika. Tumezuia line za watu na vitambulisho vya taifa, kazi bure bado kuna majanga. Mawaziri wetu ni wapenda mipasho tu, sawa kabisa. Hatuwakagui kiundani wanaosafiri kwenda USA, bado majangiri wanapitisha mengi. Uzamiaji. Nchi yetu ina wa ile dini... wengi.
Kwa hiyo wewe unataka mashoga?
 
Back
Top Bottom