Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 207
- 244
Donald trump alikua scotland kwa ajili ya kufungua uwanja wa golf wa kwake ndo akapost hiyo tweet yake ilioamsha matusi ya wascottish
Matusi ya kiscottish hayo..Hzo Comebacks Kweli Ni AAA
Hkuna mkuuHakuna sheria ya mtandao huko Scotland