Trump and Nancy: Look at them as if they are kids in high school

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Look at them as if they are kids in high school. The President is not a politician. He says what thinks and doesn’t hold back. I believe he is right that there is something illegal going on in that Democratic Swamp.

No, he shouldn’t speak as he does but we all know what he is thinking. Now we come to the Ripper. Ole’ Nancy who doesn’t have any respect for the people and tears up a Constitutional required speech that was to be filed then after two years archived. She says she is a Catholic and praying for the President and America.

Now, did anyone watch when a Schiff said “he didn’t trust that the ballot votes would be right”? Meaning, Americans do not know what they are doing. That’s what ole’Nancy is saying. Trump caught us and now we can’t have our socialist government. Please, read what your candidate is voting for Red or Blue just know what they are up to. Use go track.us to watch issues and Bills being discussed. You have that right.
 
Heading na content vitu viwili tofauti,mtu akisoma heading atajua ndani umemquote Trump,kitu ambacho hujafanya na umeandika Blah blah hata hajulikani aliyezitamka!

Nways,Uzi uende international forum Moderator
Angekua tanzania angekua ameshapigwa risasi au ametekwa au amepewa kesi uhujumu uchumi... Bila kusahau kuhojiwa uraia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu inaItwa ML ingemhusu
Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya US na Bongo......

Huyo Nancy kutokana na kuchana Live hotuba ya Rais Trump, najaribu ku-imagine, angelikuwa Spika wa Bongo, hali ingekuwaje.......

Kitochi Original
 
Hata angekuwa Spika wa Bongo, rais hana mamlaka ya kumuondoa 1. VP, 2 Spika, 3, Jaji Mkuu, 4. CAG, 5. Mbunge

Kww vile ni Bunge la CCM dominated parliament, then kupitia CCM party Caucasus, wangeleta motion ya kipiga kura ya kutokuwa na imani na Spika, kwa wingi wao, hoja hiyo ingepita na Spika angeondolewa, ila kumfananisa Spika yule anayejua wajibu wa Bunge katika kuisimamia serikali na huyu Bunge letu linalijipendekeza? kwa serikali, (note alama ya kuuliza kwenye neno Kujipendekeza nisije nikaitwa tena Dodoma), ni watu wawili tofauti sawa na kufananisha mbingu na nchi!.
P
 
Huyu speaker wetu ni Kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea katika nchi hii
 
..hutasikia Nancy amepigwa RISASI.

..wala Nancy hatotumiwa watu WAMTEKE.

..Nancy hatozuiwa kufanya mikutano ya hadhara.
Ni kweli...Na kukiwa na jambo la kitaifa utawaona wote wamekaa pamoja...Nancy huyohuyo na Congress watampitishia bajeti ya matumizi. Ila kukosoana kuko palepale
 
Hata angekuwa Spika wa Bongo, rais hana mamlaka ya kumuondoa 1. VP, 2 Spika, 3, Jaji Mkuu, 4. CAG, 5. Mbunge

Kww vile ni Bunge la CCM dominated parliament, then kupitia CCM party Caucasus, wangeleta motion ya kipiga kura ya kutokuwa na imani na Spika, kwa wingi wao, hoja hiyo ingepita na Spika angeondolewa, ila kumfananisa Spika yule anayejua wajibu wa Bunge katika kuisimamia serikali na huyu Bunge letu linalijipendekeza? kwa serikali, (note alama ya kuuliza kwenye neno Kujipendekeza nisije nikaitwa tena Dodoma), ni watu wawili tofauti sawa na kufananisha mbingu na nchi!.
P
😂 😂 😂 ...
 
Unazungumzia mamlaka ya katiba ipi mkuu? Hii hii ambayo inampa mamlaka ya kisultani rais? Nini ambacho rais hawezi fanya nchi hii hata kama katiba hairuhusu? Kwa wabunge hawa wa ccm anaweza kufanya chochote anachotaka
 
Uko sahihi kabisa!
 
Hata angekuwa Spika wa Bongo, rais hana mamlaka ya kumuondoa 1. VP, 2 Spika, 3, Jaji Mkuu, 4. CAG, 5. Mbunge

Kww vile ni Bunge la CCM dominated parliament, then kupitia CCM party Caucasus, wangeleta motion ya kipiga kura ya kutokuwa na imani na Spika, kwa wingi wao, hoja hiyo ingepita na Spika angeondolewa, ila kumfananisa Spika yule anayejua wajibu wa Bunge katika kuisimamia serikali na huyu Bunge letu linalijipendekeza? kwa serikali, (note alama ya kuuliza kwenye neno Kujipendekeza nisije nikaitwa tena Dodoma), ni watu wawili tofauti sawa na kufananisha mbingu na nchi!.
P
Watu mnawahi siti za mbele Jf! Muda huu unaandika hii coment nilikua nimelala😀
 
Back
Top Bottom