Trump anapigwa kule na kule kama Lowassa: Romney naye huyo.

Emanzi

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
261
118
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1457024758.057069.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1457024758.057069.jpg
    57.9 KB · Views: 81
Wamerekani wanapitia kile ccm ilichopitia miezi michache iliyopita...walimlea Lowassa ikafikia wakati akawa na nguvu zaidi ya walivyotegemea..

Nashauri GOP waje kuomba ushauri kwa CCM jinsi ya kumkata Trump
 
US hakuna Democracy kuna Plutocracy! Unachekesha sana

Ben uko sahihi ila watu ni vigumu kukuelewa maana hawajui kutafiti mambo,,,,

Marekani ni nchi inayoongozwa kwa watu wenye uwezo wa pesa maana hawahitaji mtu wa kwenda kutumia white house kujinufaisha....
To be the president in America your supposed To be rich before,,,,, other things come after.

So Marekani kuna Plutocracy..
 
Watu kwa kujifanya wajuzi wa mambo ya Marekani hamjambo!

Hiki kinachofanyika sasa ni nini kama siyo demokrasia?
 
Trump ndo alikuwa wa kwanza kumponda Romney kwa kupoteza ushindi kwa Obama. Jamaa anarudisha mapigo kwani inaeleweka yeye anamuunga mkono Marco Rubio. Republican wengi wanaamini trump hawezi kushinda mbele ya Hilary Clinton.
 
Kufananisha Marekani na Tanzania kwenye masuala ya kisiasa ni uendawazimu kule anaeshinda ndo anaetangazwa usizani Trump wanaweza figisu figisu za kijinga
 
Ben uko sahihi ila watu ni vigumu kukuelewa maana hawajui kutafiti mambo,,,,

Marekani ni nchi inayoongozwa kwa watu wenye uwezo wa pesa maana hawahitaji mtu wa kwenda kutumia white house kujinufaisha....
To be the president in America your supposed To be rich before,,,,, other things come after.

So Marekani kuna Plutocracy..
Kwa hiyo Donald Trump is not rich, right?. Na Obama kwa standard ya Marekani alikuwa na utajili gani wa kumuwezesha kuwa Rais wa Marekani?. 3M+USD?.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ben uko sahihi ila watu ni vigumu kukuelewa maana hawajui kutafiti mambo,,,,

Marekani ni nchi inayoongozwa kwa watu wenye uwezo wa pesa maana hawahitaji mtu wa kwenda kutumia white house kujinufaisha....
To be the president in America your supposed To be rich before,,,,, other things come after.

So Marekani kuna Plutocracy..
mkuu mbona obama sio tajiri kivile ni mtu wa kawaida tu sasa urais aliupataje
 
Hii game ya mwaka huu republican wamepoteza mapemaaa kama Chadema

To me,My personal View.Trump hana agenda kwa America.Hana Clear Policies .Kwenye Foreign Policy ndio kabisaa.

Hillary Clinton akienda kwenye ballot na Trump the fool will be in Trouble.

Rubio is smarter than Trump.Republican wakienda na Trump hata kwenye Senate wajiandae kwa kichapo

Ingawa Plutocracy ndio imeshika Hatamu but Trump ni Liability.
 
Hi we isiwe baada ya kumchagua Raisi mwenye asili ya Africa mwaka huu watamchagua Raisi mwanamke kwa mara ya Kwanza. I guess.....
 
Back
Top Bottom