Trump amvunjia heshima Papa ,amkasirisha pope Francis.!

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Trump kamvunjia heshima papa ,Trump bila ya hiana alimchezea shere kiongozi wa juu wa kiroho wa RC mpaka pope akakasirika.

hqdefault.jpg
 
Angalia mkono wa trump kabla hajamshika mkono hakuna mkono washat unaoonekana ,,,, alafu njoo kwenye kipande kinachoonyesha trump anamshika mkono utaona mkono wa shati unaonekana kua mrefu zaidi ya mkono wasuti .....

Kwaufupi nivedeo mbili zilizounganishwa pamoja.
 
Trump anawaumiza kichwa sana lakini ndiyo kipenzi cha wamarekani kwa hiyo tulieni
 
Angalia mkono wa trump kabla hajamshika mkono hakuna mkono washat unaoonekana ,,,, alafu njoo kwenye kipande kinachoonyesha trump anamshika mkono utaona mkono wa shati unaonekana kua mrefu zaidi ya mkono wasuti .....

Kwaufupi nivedeo mbili zilizounganishwa pamoja.
Gud; kumbe na ww ushaona! Wameedit alafu ata uwezo wa kuedit mdogo sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom