Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,869
Sasa ukristo wako unahusiana nini na suala la trump kumtaka Biden ajiuzulu?Mimi ni kristo lakini kwa hili sifungamani na dini yoyote. Binafsi nimeufurahi sana ushindi wa Wataliban.
Ni fedheha kubwa sana nchi ya watu kushikiliwa na majeshi wa mababeru.