The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Rais Donald Trump akiwa kwenye mkutano wa kisiasa amesema Biden ndio mgombea mbovu kuwahi kutokea kwenye siasa za Marekani toka taifa la Marekani lilipoundwa.
Trump anasema ikitokea akashindwa uchaguzi na Biden hiyo aibu ataificha wapi kushindwa na mtu mbovu kuliko wote, anasema hiyo aibu inaweza kupelekea akaamua hata kuhama nchi.
Trump says 'maybe I'll have to leave the country' if he loses the 2020 election to Joe Biden