Trump amefungulia milipuko mikubwa ya magonjwa yaliyowahi kudhibitiwa na WHO.

Hakika
Uzuri wa hii strategy ni kwamba watu wataumia kwa kipindi flani then wataweza kusimama kwa miguu yake then baada ya hapo nchi mbalimbali duniani zitakua haziiogopi US maana zinajua haziitegemeii kwa lolote lile,hata ipige mikwara ya Vikwazo watu hawashtuki tena.

Trump anadhani wenzake walikua wajinga ku-print ma $$$ na kuyagawa kwny mashirika/nchi mbalimbali?Wanajua mtoa pesa ndio ataheshimika na ndio gharama za u-superpower,sasa wewe hutoi pesa nani akuogope hapa Duniani?

Trump inatakiwa aendelee kufanya hivi hivi baada ya muda kidogo itakua US ikitoa tamko/vikwazo ni kama vile tu ambavyo belgium/italy/Norway imetoa tamko yaani hamna mtu anshtuka wala nini.
Nandio maana natamani ajitoe katika mashirika yote anayo ya fund pesa mingiii ili tuteseke weeeee tukija tukikaa sawa basi sisi safari tu kwenda mbele US Atabakia Kua Kama AUSTRIA na HUNGARY

Sent using My COVID-19
 
Hakika Nandio maana natamani ajitoe katika mashirika yote anayo ya fund pesa mingiii ili tuteseke weeeee tukija tukikaa sawa basi sisi safari tu kwenda mbele US Atabakia Kua Kama AUSTRIA na HUNGARY

Sent using My COVID-19
Abnormall

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Back
Top Bottom