Trump aitaka Benki ya Dunia kuacha kuipa mkopo China, adai ina hela nyingi na kama haina inazitengeneza

US

Aache Kulia Lia Anavikwazo ambavyo kila siku anamuekea jamaa jamaa halii lii wala nn ss yy analia lia na nn

Kama mwanaume mwambie apambane nae 2


Jamaa walisha jiandaa mda sana maana waliyategemea haya katika miaka yambeleni


US Wanatakiwa watambue kama kwa ss CHINA Sio wakukabiliana nae kwa vitisho muda wa US Kutamba Kama zamani ulishapitwa na wakati ila naona anafosi 2 maana kwakujua anajua wazi kama as hv sio kama miaka ile ya 1960s mpaka 1990s


Mambo yamebadilika MNOOO
Duuh saivi umeshakuwa "sisi china" wabongo bana,,kipindi marekan ana vita na urusi mlikuwa "sisi marekani"
Lini Tutakuwa na sisi "sisi Tanzania?"
 
Mchina mjanja sana... Anafanya business ndani ya business...

Anazichukua World Bank alafu anakopesha wengine kwa masharti nafuu...

World Bank inaendesha dunia kisiasa yeye anaiendesha dunia ki-faida...



Cc: mahondaw
 
Trump mchokozi sana Huyu mzee, yani inabidi uwe na jicho la tatu ili uelewe kamaanisha nini, China saizi hali ya uchumi imepungua sana baada ya trump kuwapandishia tarrifs wachina na kucheza nao kama paka wake kwenye kutumia software za google, anawacheka wameanza kuwa na hali mbaya kwa sasa na sio kama zamani
 
Back
Top Bottom