Trump aishambulia Afrika, Haiti na El Salvador adai ni 'nchi chafu'

Angeanza kwanza kuwatimua ndio wakome
Jengeni kwenu
mnakimbilia mataifa ya watu!!
 
Shithole ina maana mbili.
-Tundu la choo.

-Tundu lililo katikati ya makalio(lugha ya mtaani wanaita Tigo)
 
Kumbe marekani wanapakua rasilimali kutoka kwenye "shithole".
Kumbe utajiri wa marekani unatoka kwenye shithole,
 
Yeremia 29:11
Neno hilo limewekwa kwenye ukuta wa World Bank
 
Back
Top Bottom