squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,174
Hiyo ni kwa wao kwa wao. Wasizingue watu.
Kama mwanamke Wa kisukuma. Safi sana hii
Thibitisha Ubandia wake uko wapi?! Ni vyema ukaepuka kuendeshwa na mihemuko
Aisee...Wingereza haiwezi kusimama bila marikani maandamano nikelele za chura tu......Ni nchi alisha wahi kuwa "workshop of the world" ikapolomoka vibaya, haina kibri tena lazma imsikilize Marikani to survive. Trump anajua hilo na anafanya makusudi...juzi mbele ya May waziri mkuu anamsfia mpizani wa May kwamba anaweza kua Waziri Mkuu nzuri sana ila May kakaa kimya tu kwasabb anajua wingereza inahitaji Marikani sana tena kwa wakati huu wa Brexite.....chakujifuza nikwamba wenzetu wanajua uwezo wao na nani wanamhitaji kwa wakati gani? Sio kujisifia kwamba wewe ni "donnar country" wakati hata huwezi kutoa maji safi na salama kwa badhi ya wana nchi wako.
Malkia hana lolote. wamtoe tu. Hana faida zaidi ya kuendekeza utumwa tu.Rais wa Marekani, Donald Trump amekiuka au kudharau ITIFAKI wakati wa makutano yake na Malkia Elizabeth.
Kwa utaratibu (japo siyo sheria au lazima), mtu anapokutana na kusalimiana na Malkia au mwanafamilia wa Kifalme, mwanaume anatakiwa kuinamisha kichwa kama ishara ya heshima, wakati mwanamke anatakiwa kupiga goti kidogo kwa maana ya ishara ya heshima. Yote hayo yamekiukwa na Trump badala yake amesalimiana na Malkia kwa kutikisa mkono.
Kuinama si kitu cha lazima, ila ni ishara ya heshima kwa tamaduni za kifamilia za kifalme nchini Uingereza.
chanzo: Trump defied royal protocol in meeting the Queen - twice
Boya wewe. Hivyo ni viashiria vya manyumbuMagu is a fake. You can’t compare him nothing to Trump. At least Trump does what he promised and respects democracy.
Hii ni mila wazungu wameiga kwa waafrika
Jiwe lingejua kuwa linauhitaji upinzani Tanzania ingekuwa na amani sanaWingereza haiwezi kusimama bila marikani maandamano nikelele za chura tu......Ni nchi alisha wahi kuwa "workshop of the world" ikapolomoka vibaya, haina kibri tena lazma imsikilize Marikani to survive. Trump anajua hilo na anafanya makusudi...juzi mbele ya May waziri mkuu anamsfia mpizani wa May kwamba anaweza kua Waziri Mkuu nzuri sana ila May kakaa kimya tu kwasabb anajua wingereza inahitaji Marikani sana tena kwa wakati huu wa Brexite.....chakujifuza nikwamba wenzetu wanajua uwezo wao na nani wanamhitaji kwa wakati gani? Sio kujisifia kwamba wewe ni "donnar country" wakati hata huwezi kutoa maji safi na salama kwa badhi ya wana nchi wako.
TRUMP yeye at least anajua ULIMWENGU hususani kwenye MASUALA YA BIASHARA na UCHUMI yanaendaje.Trump is realistic like baba jesca. Hapend unafki.
Labda ndiko wanakoelekea, ndio maana wanafamilia wengine kama kina PRINCE HARRY hawana hata shobo na U-ROYAL Wanafight maisha kama WaUK wengineMalkia hana lolote. wamtoe tu. Hana faida zaidi ya kuendekeza utumwa tu.
Kumbe nimelenga shabaha. ahahahhahhaa Nyumbuuu
Nafikiri watanzania wote ni jamii ya nyumbu kama mtu anataka kupiga shangazi zenu mkamshangilia vichwani mpo timamu?Boya wewe. Hivyo ni viashiria vya manyumbu