Trump Aagiza kutonza ushuru wingine wa $100bn Kwa bidhaa za China

USD 50bn + 100bn = 150bn! Hii ndio maana halisi ya "vita vya kibiashara" na sio mipasho na taarabu za kibongo. Kama 2017/18 bajeti ya Tz ni USD 15bn then ongezeko la kodi just kwa bidhaa za China kuingia US ni sawa na bajeti ya TZ ya miaka 150/15 = 10yrs! Hapo ni ongezeko "kiduchu" la kodi kwa bidhaa kutoka nchi moja tu! Marekani sio ya mchezo mchezo. Sisi tunachoma moto vifaranga.
 
Amalizie tuu na kwenye Android, window na appstore. Kwamba ukitaka kutumia izo software lazima ulipie laki 3 kwa mwaka kama kifaa chako hakijatoka kwao. Apa jamii forum watabaki wachache sana
 
Vita ya uchumi haipo hivyo Mkuu
 
Amalizie tuu na kwenye Android, window na appstore. Kwamba ukitaka kutumia izo software lazima ulipie laki 3 kwa mwaka kama kifaa chako hakijatoka kwao. Apa jamii forum watabaki wachache sana
Tutahamia Apple..Hujui jamiiforums kila mtu ana pesa
 
Trump awe mwangalifu!!

Anaweza kuamini anamkomoa China kumbe anaikomoa US in other way round.

US wana-import more from China kuliko wanavyo-export!!

Hata hivyo, manufacturers wengi in China ni US manufacturers wanaofanyia production/manufacturering yao in China kwa ajili ya kufuata cheap labors.

So, ingawaje US wana-import zaidi from China lakini wanacho-import ni US products made in China!

So, ninachokiona hapo ni kutaka kuzuia bidhaa zao wenyewe "kurudi nyumbani" at cheaper price!

Unless introduction ya huo ushuru iwe kubwa sana kiasi kwamba US products manufacturered in China ziwe too expensive in US kulinganisha na US products manufactured in US.

Ikifikia hiyo situation, YES, Americans wataachana na US products manufactured in China na kugeukia US products manufactured in US. Hiyo itaongeza demand in US products made in US na hatimae possible increase in employment!

But what about manufacturers wao wenyewe walioenda China kufuata cheap labor? Bidhaa zao wakauzie wapi if it's too expensive to sell themy in their motherland? Waendelee ku-export to motherland America at dumping price au watafute soko kwingine including kuuzia hapo hapo China?

Kitakachotokea ni kwamba, watapunguza uzalishaji wao China na kuongeza uzalishaji kutokea viwanda vyao vilivyopo US na hivyo kuendelea kuongeza ajira US... sounds like BINGO for Trump!

Lakini US manufacturers wakikimbia China; baadae manufacturing cost in China itakuwa much cheaper kulinganisha na wakati US manufacturers walivyokuwa in full operation. US manufacturers kupunguza uzalishaji kutasababisha upungufu mkubwa wa ajira. Labor supply in China itakuwa much higher compared to labor demand. Matokeo yake, Chinese firm producing in China zitazalisha at much cheaper cost na kufanya bidhaa zake kuwa much cheaper! Hapo US products zinazozalishwa US zitapata taabu sana kùuza China ambalo ni soko kubwa sana!

Aidha, US products zitapata taabu sana kushindana na Chinese products kwenye masoko mengine like EU, India na Latin America!!

Si hivyo tu, hii much cheaper production cost inaweza kuzifanya Chinese products kuhimili US tariffs na hivyo kuuza US pamoja na maushuru yao!!

But again! Hivi Trump amefikiria how much US can lose ikiwa China nao, badala ya na wao kuendelea na michezo ya tariffs, kuwakomoa US wakaamua kuachana na Boeing na kugeukia Airbus! China ndie mnunuzi mkubwa wa Boeing duniani!

Ukubwa wa China (land area) pamoja na ukuaji wake wa uchumi, una-reflect demand kubwa zaidi ya usafiri wa anga... meaning more Boeing demand!!

Trump yupo tayari kwa hayo? Hapo hatujagusa fahari ya America... FORD Cars!
 
Trump kwa asili ni mfanyabiashara mzuri hivyo sina mashaka kabisa na maamuzi anayoyafanya

Ukija kwa bwana ping unagundua ni mtu alieshi kwenye maisha fulan ya shida hivo hapendi kunyanyaswa jambo ambalo linamfanya achukue maamuzi bila kuangalia yanamadhara gani kwenye uchumi yeye anaangalia respect wakati trump hana mpango wa respect yeye anaangalia kuzalisha ajira tu

Hayo ni maoni ya buzitata sio maoni yako
 
Nakubaliana na hoja zako kwa asilimia kubwa, Nafkiri hata Trump anajua effects za hayo maamuzi yake kwa bidhaa za China na Maamuzi ya China kwao.

Tayari wakulima wa soybeans wameanza kupata madhara ya kupandishiwa Kodi na China.Isitoshe lazima bidhaa zitapanda bei kwa wananchi wa Marekani.

Lakini hii vita ni ya kuishinikiza China kubadili Sera zake kwenye biashara na Uwekezaji wa Makampuni ya Marekani hususani kwenye mambo ya Transfer of technology. So calculated risks zimefanywa na kuona Upande wa China utaumia zaidi kutokana na uchumi Wao kubase too much kwenye exports.

So natumaini watakaa Mezani na kubadili baadhi ya Sera zao za kibiashara baada ya kumuonyesha Xi Jinping kuwa hatanii linapokuja suala la maslahi ya Wamerekani hata kama ni kwa kupata hasara.
 
Wakti unabadilika na mbinu hubadilika pia
This 21 century
 
Nakubaliana na wewe %100 na iwapo marekan itacheza china miaka 20 ijayo china itaanza kuiwekea vikwazo marekan
 
Marekani haiitaji china kama china anavyo mhitaji Marekani...

Rais wa China atafanya ziara nchini Marekani, biashara anayo ifanya china Marekani alikuwa akiifanya miaka ya 1930 huko.. Sasa hivi marekani ni kusign tu madeal

Trump lazma amkalishe mtu kati hapo...
 
Kwani lazims viwanda virudi nyumban US?! Vitahamia India na hats TZ
 
Nakubaliana na hoja zako kwa asilimia kubwa, Nafkiri hata Trump anajua effects za hayo maamuzi yake kwa bidhaa za China na Maamuzi ya China kwao.

Tayari wakulima wa soybeans wameanza kupata madhara ya kupandishiwa Kodi na China.Isitoshe lazima bidhaa zitapanda bei kwa wananchi wa Marekani.

Lakini hii vita ni ya kuishinikiza China kubadili Sera zake kwenye biashara na Uwekezaji wa Makampuni ya Marekani hususani kwenye mambo ya Transfer of technology. So calculated risks zimefanywa na kuona Upande wa China utaumia zaidi kutokana na uchumi Wao kubase too much kwenye exports.

So natumaini watakaa Mezani na kubadili baadhi ya Sera zao za kibiashara baada ya kumuonyesha Xi Jinping kuwa hatanii linapokuja suala la maslahi ya Wamerekani hata kama ni kwa kupata hasara.
Tuhuma za US kwa China kuhusu hilo suala hazijaanza sasa. Inawezekana ni tuhuma za kweli kabisa lakini kutokana na secrecy iliyopo kwenye Chinese systems; ni ngumu sana hizo tuhuma kuzithibitisha!

Kunapokea trade disputes, huishii kutoa tuhuma bali lazima uthibitishe hiyo wrongdoing ya unayemtuhumu! Hiyo ndiyo changamoto ya US kuhusu tuhuma zake kwa China!

Kutokana na hiyo changamoto; inawezekana ndio maana Trump akaamua ku-press hard ili kumshinikiza China.

Kwa bahati mbaya; China fought back kwa staili ile ile ya US!

I'm telling you... ingawaje uliyosema yote ni kweli lakini approach aliyotumia Trump dhidi ya China haina mbolea kwa US. As I said earlier, ingawaje ni kweli pia China ana-export sana to US but kiasi kikubwa cha export ni US products made in China! Which means, US akipandisha ushuru kwa Chinese products; manufacturers wakubwa wanaoathirika ni US wenyewe!

Kinyume chake, China akiongeza ushuru dhidi ya US products, anayeumia zaidi ni US yule yule!

Again, looking at the nature of US exports relative to China exports; hapa tena hapana ishara mzuri kwa US.

Kwa mfano, according to Forbes, largest US exports ni Aircraft na largest importer wa hizo aircraft ni China ambae value of import anayofanya kwenye aircraft ni zaidi ya 33% ya second largest importer of US aircrafts. This means, ikiwa China anaagiza ndege za thamani ya Sh. 100; anayemfuatia anaagiza za less than Sh. 70!

Una-mess vp na importer wa aina hiyo kwa bidhaa kama aircraft?! Leo hii China akigeukia Airbus, ni nchi gani itaweza ku-replace soko kubwa kama hilo kwa expensive products kama ndege?

Also, kwenye list ya top export, #3 ni Motor Vehicle na second largest importer ni China!

Remember, hapa tunazungumzia US made cars including FORD. We all know jinsi ya US cars & trucks zilivyo expensive!!

If I were Trump, i'd think twice on how to mess with US cars & trucks importer ambae huwezi kum-substitute with small economies!

Majority of Top 10 US exports; China yupo in Top 3 na wengine ni Mexico na Canada!

Computer chips zipo in Top 5 of US exports na China yupo in top 3 of importers wa hizo chips.

But ingawaje kuna kampuni nyingi za Kichina zinazoigiza hizo US computer chips lakini I'm certain ni US companies with factories in China ndio net impoters wa hizo chips na ndio maana wherever you go, utakutana na HP & Dell computers made in China wakati both are US natives.

So, though ni kweli vile vile China itaathirika but I believe there might be a better way to drag China to negotiation table kuliko kumtandika ushuru ambao unaathiri kwa kiasi kikubwa kampuni za Marekani wenyewe!

Kwamba wamesha-calculate risk sina shaka but sometimes playing tough inaweza kukufanya uchukue suicide decisions.

Hata back in the days, Ronald Reagan ali-calculate risk pale alivyo-introduce dollar policy iliyolenga kuwa na strong dollar na kweli US Dollar ikapanda sana thamani hadi Reagan kufikia kusema "Strong dollar means strong America!"

But what happened next?! Bidhaa za US zikaja kuwa too expensive to compete with foreign products!
 
Kwani lazims viwanda virudi nyumban US?! Vitahamia India na hats TZ
Sounds like unamaanisha kujenga viwanda vipya lakini nilivyosema kurudi US simaanishi wataenda kujenga viwanda vipya bali kuongeza uzalishaji kwenye viwanda vyao!

Chukulia Dell & HP kwa mfano! Hawa tayari wana factories in US na walienda China mosi, kufuata cheap labors but pili kuwa karibu zaidi na Walaji!!

Sasa kama kutengeneza Dell Computers in China for US market itakuwa very expensive, it's obvious itabidi wazalishe ndani ya US.

But all in all, wakifungasha virago kwenda nchi kama India; sasa hapo si itaonesha sera zao wenyewe zinawafanya wenyewe wawe wanahangaika.

US manufacturers wakikimbia China; manufacturers wengine watamiminika tu kwa sababu kila mtu analitamani soko la China ambalo ni kubwa takribani mara 4 compared na US market!

Wewe leo hii upate only 5% market share ya ku-supply toothpick in China; in 5 years utakuwa kwenye level ya akina Bakhresa!!

Sasa unaanza vp ku-mess na soko kama hilo!

So, kama US alitaka ku-deal na China, angetumia mbinu nyingine na co ya kupandisha ushuru wakati wanajua China nae silaha kama hiyo anayo tena ina makali huku na huku!
 
Marekani haiitaji china kama china anavyo mhitaji Marekani...

Rais wa China atafanya ziara nchini Marekani, biashara anayo ifanya china Marekani alikuwa akiifanya miaka ya 1930 huko.. Sasa hivi marekani ni kusign tu madeal

Trump lazma amkalishe mtu kati hapo...
Nani kakwambia, weka ushabiki wako nyuma ya keyboard
They have mutual benefit
Rudi nyuma, obama alishindwa.
 
Kama obama alishindwa na Trump nae atashindwa? China lazma akubali yaishe kwenye hii vita... Wapemba wanasema "Time will tell"
 
Back
Top Bottom