...true story!

ngoja amalize kula burger atatuambia kama wamerudi au la!

Paloma umejuaje?njoo mlimani city subway unaijua?au pale wanapochoma mahindi ndio itakuwa rahisi kwako.!..nikuchape na moja..baga!
 
Last edited by a moderator:
Mie nilipanda nao meli moja, si ndiyo wale waliyokua wamevaa nguo? Coz wengine tulikua chuku kwa chuku!
 
Paloma umejuaje?njoo mlimani city subway unaijua?au pale wanapochoma mahindi ndio itakuwa rahisi kwako.!..nikuchape na moja..baga!

haaa nimechelewa au?!?!?............na hivi niliskip lunch nna booonge la ubao! nakuja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom