ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Nakuletea stori yangu ya ulevi niliofanya kuanzia pombe ya kwanza Hadi Leo hii
1.nilianzaga na mtukuru huko mkoani singida huku nikionja onja bia pia na zile mbege.nimeanza kugonga rasmi 2009
2.nikajifunza banana nilivomaliza tu secondary 2010 hapo arusha
3.baadae chuoni 2013 nikaanzaga kunywa hivi viroba nikavinywa kwa muda mrefu sana ilikuwa Ni huku dar
4. Kisha Nikahamia kwenye konyagi mwaka 2014 huo ndo mwaka nimelewa sana.nilikuwa sikosi kamchongo mfukoni.(kaudongo cha Bibi)ugoro.nikala nikaja kuacha 2015.
5.mwaka juzi huo nikaendaga Hadi kwenye gongo hapo ndipo nilipopoteza Network.gongo nikawa najimix na vilinge vya mnazi,choya na wanzuki.
6.baadae kidogo hizi balimi zikaanzaga nikawa nagonga zenyewe sometimes na safari ndogo hio ilikuwa mwaka juzi nakumbuka
7.mwaka Jana nilikuwa babati kikazi nilibahatisha site fulani nikawa natembeza vi highlife gen,na kumbuka na fegi ilikuwa Ni safari,na wisnton.
8.kurudi dar nikakuta k vant zimenoga ilikuwa mwaka Jana hio nikavipiga we sometimes tulikuwa tunamix na MO energy.
9.Mwaka huu mwanzoni nikanogewa na DOUBLE KICK.mara vibonanza Mara vi gen
10.Mwezi huu wa February nimehamia kwa KITOKO.kitamu
hatari
Katika pombe zote ila Kuna list nazioogopa Ni valuer brand na ki NGUVU ki power.navijua havidanganyi vile ukigusa tu gia fasta zinabadilika from 2 to 4.