True story: The lady i have been chasing

For Real?
Si mnapendana sana kwani!?

Unajua kinachochekesha unaweza kumuacha huyo mwanamke kwa hali yake hiyo ilihali mnahitajiana sana lakini miaka miwili ijayo ukajikuta na wewe upo tu kama kwenye hali yake sasa hivi.

Ila pole sana, na mimi nikiwa form three kidogo nikunyuge mdada wa HIV positive
 
Aliamua kukunyima kwa namna hiyo. Ulithibitisha vyeti sio feki, ungejiongeza Mkuu.
 
Thats what condoms are made for,aren't there any where you are?
Condomns are meant for protection because we don't know the status of our partners. Incase we know the status then we don't have to use the condoms if they are no affected and we don't have to sleep with them if they are affected.
 
Was just playing, I know all of that!
 
kapime naye kwani anakupima kama unampenda ila nae ameshakupenda...n.
 
darren gold Mbona sijakuelewa chief, Bishoo ndio nani
Ni bora mkapime upya tu kuliko kumuacha mwanamke anayekupenda hivyo, You dont get two of them perhaps in the whole DSM. Mi nisingemuacha labda kama yeye ndio hanitaki!Its better we just be friends as long as am happy with her
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom