True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

Ukiona mwanamke unamtilia wasiwasi ni bomu hilo litakuja kukulipukia...kitu kinachokunyima usingizi kiache sio chako,

vijana narudia tuoe kuanzia 29 years hata kama una mchumba umempa mimba akuvumilie mpaka ufike 29 ndo muoane kama ni wako utamjua tu humo kati kuliko aibu ya baadae unaoa mtu asiye sahihi
Jamaa anachoniudhi ni kwamba kila kitu anasema nyumbani.
 
Lilishaisha likaibua shida nyingine

Yaani ujinga wa mwanamke mmoja unasababisha wengine waishi na mimi kwa tabu sana

Kuna wanawake hapa watashadadia aliyofanya mwenzao hawajui pengine wanawachukia wanaume kwa ushenzi waliofanyiwa bila kujua sababu inaweza kuwa wanawake wenzao

Ogopa kuangukia kwa mwanaume mwenye historia zake huko atokako
Kweli kabisa
Naomba Mungu nisikutane na mwanaume wa hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom