Sawa boss natumaini sijakuudhiHili la limbwata sikutaka kulizungumzia tangu mwanzo kwa kuhofia kuambiwa kama ulivyosema ndio maana hata nilipojaribu kulielezea nimetaka wafuatiliaji wasilitilie maanani
Sawa boss natumaini sijakuudhiHili la limbwata sikutaka kulizungumzia tangu mwanzo kwa kuhofia kuambiwa kama ulivyosema ndio maana hata nilipojaribu kulielezea nimetaka wafuatiliaji wasilitilie maanani
Kiroho safi bobSawa boss natumaini sijakuudhi
Alafu mwandishi anataka tumpongeze,hataki kukubali kuwa kuna sehemu anakwamaNaunga mkono hoja, mara nyingi sisi wanaume huwa tunakosa maamuzi halafu tunasingizia limbwata. Mtoa mada tangu aliposhtukia kuhusu mimba ya kwanza ilipotolewa angechukua hatua ngumu haya yote yasingetokea
Nitag mahali nilipoonyesha umwamba we mzeeAlafu mwandishi anataka tumpongeze,hataki kukubali kuwa kuna sehemu anakwama
hata nikikuta msg ya mapenzi nalia Mimi badala yake' ...Daahh dunia hii !!!!
Alafu mwandishi anataka tumpongeze,hataki kukubali kuwa kuna s
Alafu mwandishi anataka tumpongeze,hataki kukubali kuwa kuna seh
Haya mambo wanaume karibu wote hututokea ila wengine tukishaona dalili tu za kugeuzwa boya huwa tunaacha kimoja sasa sijui mleta mada akifeli wapiAlafu mwandishi anataka tumpongeze,hataki kukubali kuwa kuna sehemu anakwama
Usimcheke as long as una ishi bado upo kwenye risk ya kuwa kama yeyewatu siku hizi wanaroga mpaka nawaonea huruma wanaume
Wakati yanatokea nilikuwa na umri mdogo kuyajua hayaHaya mambo wanaume karibu wote hututokea ila wengine tukishaona dalili tu za kugeuzwa boya huwa tunaacha kimoja sasa sijui mleta mada akifeli wapi
Kwa kifupi story inamuhusu jamaa mmoja ambae kikitokea kitu tu kwenye mahusiano yake 'anawataarifu home'😂😂😂Aliyeisoma yote na vipande vyake, anisaidi kuniwekea summary hapa chini. Nina njaa na hii story ilivyo ndefu naweza zimia sijamaliza yote
Kwa kifupi story inamuhusu jamaa mmoja ambae kikitokea kitu tu kwenye mahusiano yake 'anawataarifu home'
Kwa kifupi story inamuhusu jamaa mmoja ambae kikitokea kitu tu kwenye mahusiano yake 'anawataarifu home'
Kama yanafanana sana pitia ushauri wa wadau humu ufanye haraka, ushauri huo haunisaidii mimi sababu yalitokea siku zilizopita na wanachoshauri nilishakifanyaMkuu naona mambo mengi uliyo yapitia yanafanana kabisa na mambo ambayo nilipitia mm pia mda hui
Mkuu suala la kutembeleana na kutoa mahari ni vitu vimetokea ndani ya muda mfupi sanaMimi naona wote mlikuwa na matatizo, ulipooa na mke kuwa mbali kikazi ulitakiwa upange jinsi ya kukufana zamu za kutembeleana, kingine kushindwa kulipa mahali kitakuwa kilikwaza familia ya upande wa mke, kingine nilichokuona nacho ulipenda kuoa mke wa kuwa naye karibu akupikie na kukufulia hivyo huyo mwanamke hakuwa anakufaa, kwasasa umeshamove on kaa na familia uliyonayo Sasa huyo mtoto mwache mama yake aamue aishije hasa kuishi kwa Bibi ni vizuri kuliko kuishi na mama anayeshinda kazini na ujana bila mtu wa kumdhibiti kurudi nyumbani mapema kuhusu kulelewa na mama wa kambo hata hilo siyo jema, mwache huko kwa mama yake.
Hahahaha hii kitu inachekesha kinoma.Kwa kifupi story inamuhusu jamaa mmoja ambae kikitokea kitu tu kwenye mahusiano yake 'anawataarifu home'😂😂😂
Jamaa ni hatari..kwa kifupi hawez waficha home kitu😂😂😂nna wasiwasi huu uzi pia taarifa yake ipo home😂😂😂Hahahaha hii kitu inachekesha kinoma.