True Story: Na hii ndio sababu kwanini situlii na demu mmoja

Ninapoona nyuzi km hizi za maumivu ya mapenzi ndipo ninapozid kushukuru MUNGU kuwa km nilivyo.

Sijajua nililiona mapeema au pengine nina mapungufu ya fikra.... Ila maamuz uliyoyafanya wewe baada ya kusalitiwa ni maamuzi ambayo tokea nianze mahusiano... Mimi ninayo.

Na nashukuru mpka kufikia leo... Sijawah teseka kwa maumivu, wala kuteswa na mahusiano.

Mara zoote mi ndio nacontrol mchezo na mambo yanaenda vizuri
 
Sikiliza mkuu.

Unajua suala la upendo kubalance Kati ya mwanaume na mwanamke Ni Jambo gumu Sana. Lazima mmoja akimpenda mwenzie zaidi na anaependwa akajua, Basi hujiachia kabisaaaa.

Ili kuthibitisha Hilo, hata wewe itakuwa Kuna wanawake walikupenda Sana Sana, lakini kwakuwa hukuwapenda Basi ukawapotezea.

HAYO NDIO MAPENZI YALIVYO MKUU.
Hahah mie nawacheki tu wapendanao
 
1.Kila story inaupande wake wa pili,don't judge.

2.Once a traitor,always a traitor.Kubadilika kupo lakini kugumu.Tukiona alama nyekundu,tuchukue maamuzi mapema.
***************
Pole mkuu,labda ipo siku utapata mtakaependana na mkaendana.Ukisubiri hilo,sidhani kama ni sahihi sana kufanya maamuzi makubwa hivyo kutokana na experience na mtu mmoja tu.
 
Ndio maana ukajipatia ilo jina ila kweli ulikua zero unalea mtoto wa dume mwenzio alafu unajua dume lenyewe lipo hai na halijahasiwa.

Mimi kudanganywa kulea mimba kwenye simu ndo kilichonitoa kwenye mkondo wa mapenzi na uaminifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom