True story: Mpelelezi apelelezwa na mpelelezi mwenzake, naye apelelezwa na mpelelezi mwingine bila kujuana

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,645
35,976
Kila kitu hapa ulimwenguni ni art na hii kazi ya arts ina kiwango chake. Hata mambo ya usalama ni kazi ya sanaa iliyojaa watu wa level tofauti. Kuna mjamaa mmoja alitumwa na boss wake kumfuatilia mama mmoja muuza vipande vya mihogo mibichi barabarani. Kilichomshtusha boss ni ulinganifu wa sura na jirani yake ambaye alimwambia kuwa yeye ni mfanyabiashara wa nguo jumla na rejareja Kariakoo.

Akamtuma kijana wake amfuatilie pale road ambaye aliingia kama muuza maji ya kandoro ya mia mia. Katika harakati za kutekeleza majukumu yake afisa nambari 2 ambaye ni muuza maji ya kandoro akajikuta anachunguzwa na afisa nambari 3 ambaye alikuwepo road kitambo kwa style ya chizi.

Story itaendelea, kwakweli iliishia patamu.
 
Sijui bangi za mkoa gani?
 
Back
Top Bottom